Mpina: 05/2021 Symbion ililipwa bilioni 350 bila kutozwa kodi

Mpina: 05/2021 Symbion ililipwa bilioni 350 bila kutozwa kodi

Bilioni 350 bila kutoza kodi, huku mimi nikituma 30,000/= kijijini kwetu nakatwa tozo.

Haya mambo kama Samia hayajui, au anayajua na kuamua kuyafumbia macho makusudi ndio yanamfanya aonekane alivyo Rais dhaifu.

Kwasababu hata kama kweli hayajui, anapopata taarifa kama hii toka kwa Mpina hakuna anachofanya zaidi ya kukaa kimya na kulea huu wizi, huku wao wakiwaza jinsi ya kumshughulikia mtoa taarifa za wizi.

Mpina kwa sasa ndie mbunge anayejitambua kule bungeni, nampongeza kwa kuamua kwake kujitofautisha na walamba asali wengine bila kuhofia nafasi yake kwenye bunge lijalo, inshort, Mpina ameushinda utumwa wa tumbo unaosababisha kujipendekeza.
Ccm wote wezi, ref Jiwe na 1.5 tr
 
Hakuna chochote!! Alipokuwa ndani kwa nini alikuwa kimya!! Baada ya kutupwa nje ya baraza la mawaziri ndo anajifanya kuwa mzalendo, hakuna chochote!!
Alipokuwa ndani aliwahi kuamuru samaki wapimwe kwa rula pale bungeni kuona kama kipimo kilikuwa sahihi kwa samaki wale kuvuliwa baadaye Supika na wabunge wakamkoromea. ! Hilo pekee linaonyesha jamaa ana uthubutu !!
 
Ccm wote wezi, ref Jiwe na 1.5 tr
Wenye chama watapinga lakini wenye Nchi wanatakiwa wajue kwamba kwamba Change ni muhimu sana kwa mustakbal mwema wa Nchi !! How hiyo ndio sijui !! Kubadilisha chupa na mvinyo ni ule ule inaonekana bado ni shida tu !! Waburundi wanasemaga business as usual !!
 
Jamaa anahangaika na Tozo na muda mwingine utawaona TRA wamejibanza wanakamata watu wasio na Risiti wakati yapo majambazi tena yanapewa na maji ya kunywa kabisa na kodi hayalipi na hakuna atakaeongea hizo mambo unakutana nazo kwenye Ripoti ya CAG ambayo pia ni taarifa tu ila haina nguvu ya kuwawajibisha wakosaji na wezi kama hao yaani wao wanaishauri tu Serikali isiendelee kuibiwa..
Yaani umenena kweli tupu.kipimo cha ujambazi wa mamlaka either directly or indirectly ni Report ya CAG ,nimejaribu kukumbuka skendo nyingi katika nchi hii znazohusu ufisadi , kuanzia Kagoda, meremeta, nk nk.hata ile ya akina Seth, walengwa walengwa hawakuguswa hata mmoja .Maengineer wa ufusadi ni viongozi wenyewe .hata hili alosema Mpina bila shaka businesses as usual, Wezi ni wale wale Wanene..
 
Magufuli hakugusa mwizi hata mmoja wa maana, alikua anadeal na vidagaa kwa kelele nyingi, lakini hakuna fisadi hata mmoja alimgusa. Kamkamata Singa na Rugemalira, lakini kawaacha wanasiasa wenzake ambao ndio walikuwa watoa maamuzi. Inshort alikuwa ni mpenda sifa za bei rahisi.
Right, lakini walifilisiwa mali zao,na mkashupaza shingo anawaonea,sasa mkamuua,sasa mnarudisha pesa zenu kwa nguvu bila haya mchana kweupeee
 
Right, lakini walifilisiwa mali zao,na mkashupaza shingo anawaonea,sasa mkamuua,sasa mnarudisha pesa zenu kwa nguvu bila haya mchana kweupeee
Alifilisi mali zao bila kufuata sheria zaidi ya kutumia kile kikundi chake haramu cha task force.
 
Alifilisi mali zao bila kufuata sheria zaidi ya kutumia kile kikundi chake haramu cha task force.
Kila anayekuja anaonekana hafai je nani anayeweza kuwa bora kabisa kuliko hao wote ?! Na tunafanyaje ili tumpate hapa Nchini. ? Au tatizo letu hasa ni nini ??
 
Kila anayekuja anaonekana hafai je nani anayeweza kuwa bora kabisa kuliko hao wote ?! Na tunafanyaje ili tumpate hapa Nchini. ? Au tatizo letu hasa ni nini ??

Uchaguzi uwe wa haki lazima atapatikana aliye sahihi. Haya mambo ya kikundi kinachojiita system kumchagua wamtakaye na kuishia kupora uchaguzi ndio madhara yake.
 
Bilioni 350 bila kutoza kodi, huku mimi nikituma 30,000/= kijijini kwetu nakatwa tozo.

Haya mambo kama Samia hayajui, au anayajua na kuamua kuyafumbia macho makusudi ndio yanamfanya aonekane alivyo Rais dhaifu.

Kwasababu hata kama kweli hayajui, anapopata taarifa kama hii toka kwa Mpina hakuna anachofanya zaidi ya kukaa kimya na kulea huu wizi, huku wao wakiwaza jinsi ya kumshughulikia mtoa taarifa za wizi.

Mpina kwa sasa ndie mbunge anayejitambua kule bungeni, nampongeza kwa kuamua kwake kujitofautisha na walamba asali wengine bila kuhofia nafasi yake kwenye bunge lijalo, inshort, Mpina ameushinda utumwa wa tumbo unaosababisha kujipendekeza.
Bunge? Pale hakuna bunge, ni kikao Cha CCM tu.
 
Wewe ni mpumbavu sana

Samahani kabla ujaandika tafiti.

Hao walivunjiwa lini mkataba?

..mgogoro wa Symbion vs Tanesco huo hapo.

..ukisoma utaona mgogoro huo ulianza mwaka 2017.

..kama taifa tulitakiwa kuwa makini sana kabla hatujasaini mikataba, na zaidi tunapoamua kuivunja.

BakiliMuluzi , Tindo
 
Back
Top Bottom