Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina maana timing kwa wanasiasa wenzie wakubwa. Kwa bunge lilivyo ingekuwa ni rahisi labda kuondoa kinga ya kutoshitakiwa !! Nasema labda tu !!Timing watu aliowaweka ndani zaidi ya miaka minne na akashindwa kudhibitisha wizi wao mahakamani! Aliogopa akichukua njia ya mahakama angekamata ambao wanajua uchafu wake. Hivyo akaamua kutumia njia za kihuni na vitisho.
Labda alikuwa anasubiri hicho kipindi cha pili cha uongozi wake ndio aanze kuwashughulikia badala yake mambo yakaenda ndivyo sivyo !! Nasema labda !Kama kweli alikuwa ameamua kupambana na wezi hakupaswa kuwa selective, bali alipaswa kukamata wote ikiwemo wanaccm wenzake waandamizi. Ndio maana leo yuko jehanamu uhuni unaendelea vilevile maana wanajua hata akija kiongozi mwingine toka ccm hatawagusa. Hapo ndio nakumbia yule alikuwa anasaka sifa za bei rahisi.
Nina maana timing kwa wanasiasa wenzie wakubwa. Kwa bunge lilivyo ingekuwa ni rahisi labda kuondoa kinga ya kutoshitakiwa !! Nasema labda tu !!
Lolote linawezekana !!Sheria haifanyi kazi retrospectively useme akitunga sheria leo itakamata wenye makosa wa nyuma. Ni hivi hakuwa na ubavu wa kugusa wanasiasa wenzake maana hata yeye hakuwa msafi zaidi ya kusaka sifa za kijinga.
Nmeingia mjini kikaz zaidiBahasha la khaki, Capuchino, funguo za gari na iphone ipo mezani!! Kweli maisha ya mjini ni raha !! Hapo linasukwa dili sio la kitoto !!
Mpina, 25% ya watanzania wapo kanda ya ziwa kulingana na sensa 2022,wakazi wa kanda ya ziwa wanakutuma ujaxe fomu 2025 kupitia ccm wako nawe kwa 100%Mbunge Luhaga Mpina amehoji ni kwa nini kampuni ya Symbion ililipwa pesa zaidi ya bilioni Mia tatu bila kutozwa kodi ya Serikali?
Amehoji pia ni kwa nini mkataba wa symbion uliokuwa unakoma 2015 ulihuishwa September 2015 bila kufuatwa taratibu na ajabu Serikali kwa uharaka ilikubali kuilipa Symbion Mei 2021 na bila kutozwa kodi?
Amehoji inakuwaje C.A.G ameshasema mkataba ule uliingiwa kimakosa na kwa nini aliyeuingia kimakosa hawajibishwi na matokeo yake Symbion amelipwa pesa za Watanzania maskini pasipo kufuatwa utaratibu?
Halafu bado watauliza Rost ni nani? Mpaka watafuniwe ndo watarlewa!Dalali wake Rost kwenye dili la Taifa gas.
Ndio maana makamba aliwekwa pale sio kwa bahati mbayaMagu ilikuwa mwezi wa 3 na watano wanalipana pesa bila kukata kodi...
Ishu ilikuwa Well planned kumuondoa ili wachote pesa.
Pesa zilichotwa miezi miwili baada ya kupita kifo cha hayati.
Hakuna chochote!! Alipokuwa ndani kwa nini alikuwa kimya!! Baada ya kutupwa nje ya baraza la mawaziri ndo anajifanya kuwa mzalendo, hakuna chochote!!Jamaa ana Uzalendo sana
Mpina naye anataka alambishwe asali!! Baada ya Pole pole kulambishwa asali, hutamsikia sana akisema cha wahuni wala nini!!Jana namuona Hamphrey Polepole akiangalia golf huko Malawi, kalambishwa asali katulia.
Saa nyingine sisi wananchi inatubidi tuwaunge mkono hawa watu vinginevyo watapewa asali kama Mbowe, nk watusaliti.
Kwanini tusiingie barabarani kuwaunga mkono watu wanjitoa kwa ajili ya nchi yetu?
Ungejua ufisadi alioufanya kwenye lanchi za taifa usingesema ni mwadilifu.ccm hakuna mzalendo njaa inamsumbuaJamaa ana Uzalendo sana
Nyinyi ccm ni madalali wakuu kwa nchi yetu. Kila siku mnaingia mikataba ya kipuuzi ili mpate 10%Jamaa ana Uzalendo sana
JPM walimtoa 03/2021 unganisha doti
Muwe mnasoma vizuri maelezo ,nyie ndo ile type unatoka kukisaidia vichakani uku majani uliyojichambia yamenata makalioni.Kama ni hivyo JPM anahusika JPM alikufa mwezi wa tatu katikati mchakato wa malipo aufantiki siku moja tafakari
Kabisa mkuu...Ndio maana makamba aliwekwa pale sio kwa bahati mbaya
Tulishitakiwa mahakama gani? Lini tulishindwa kesi na kuamuriwa kulipa hizo pesa? Mahakama gani iliamuru tulipe 350B? Tafadhali shea hata link ya habari hii na sisi tuone..Jpm ndiye aliyevunja mkataba na kusababisha serikali ishtakiwe na kuhukumiwa kulipa hayo mabilioni.
..Prof.Kabudi na AG Prof.Kilangi ndio waliomdanganya Magufuli na kupelekea kuvunjwa kwa mikataba kiholela.
Wewe umethibitishaje hakujulishwa?hazina chini ya Dotto James?
Tulishitakiwa mahakama gani? Lini tulishindwa kesi na kuamuriwa kulipa hizo pesa? Mahakama gani iliamuru tulipe 350B? Tafadhali shea hata link ya habari hii na sisi tuone
..Jpm ndiye aliyevunja mkataba na kusababisha serikali ishtakiwe na kuhukumiwa kulipa hayo mabilioni.
..Prof.Kabudi na AG Prof.Kilangi ndio waliomdanganya Magufuli na kupelekea kuvunjwa kwa mikataba kiholela.