Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

soma taarifa ya kamati ya bunge ya kilimo, mifugo na maji imesema hayo maneno bungeni juzi
 
Let me laugh....Uchumi wa kununua V8 ya 400M wakati shule haina tundu la choo, sasa hao wachumi kama wewe wanapatikana sayari ya wapi kwa mfano?
Unanilazimisha nikudharau ujue!
Shule ina bell ya mwaka 47 kigazini kabisa…smh
 
kuwa mchumi mbobezi sio kujua mambo...mwigulu inaonekana alikuwa bingwa wa kukariri ndio maana akafaulu vizuri ila sio msomi mzuri
Umeshawahi kusikia Kuna mchumi hapa tanzania anakosoa sera za mwigulu. Nyile mbulula msiolewa chochote ndo mnamkosoa tu. Umeshawi kusikia akina Lipumba, prof semboja nk wanamkosoa mwigulu kwa sera za uchumi ambazo anazitekeleza.
 
Leta wewe acha uvivu. Shida mitanzania yote ni mivivu ya kusoma ila inapenda vitu cheap
soma taarifa ya kamati ya bunge ya kilimo, mifugo na maji imesema hayo maneno bungeni juzi
 
Mpina yupo sahihi ndo maana madelu kajibu kwa mipasho........nchi kwa sasa inahitaji watu aina ya Mpina.
 
Mh.Mpina alikua mbunge wakati wa awamu ya tano?kuna mwenye clips zake kuhusu mchango wake bungeni kipindi cha mwendazake, maana ya kuuliza hii ni kutaka kujua impartiality ya Mhe huyu
Mnafiki tu huyo sababu kanyimwa uwaziri
 
Acha uongo awamu hii hakuna anayewindwa,
Muwindaji wa wakosoaji tulimzika 17/03/2021
Tundu Lissu, Lema, Mdude na viongozi wengine wa Chadema ni ushahidi tosha

Awamu hii nani kapigwa risasi kwa kukosoa serikali?
 
Na wewe ficha ujinga wako,Mwigulu ajajibu hoja za Mpina bali amefoka tu na kwa kifupi hawezi kujibu hoja za Mpina,Mpina anajenga hoja kwa fact!
Ile pesa Bilioni 300 waliyomlipa Symbion imetoka wapi kama haijachomolewa kwenye mafungu ya kibajeti na kuathiri maeneo mengine?
Na Ile pesa zaidi ya trillion 1 waliyomlipa mchina nje ya bajeti wameitoa wapi?

Mwigulu alipaswa ajibu hizo hoja na aliambie taifa kama kuna athari katika utekelezaji wa bajeti au la!

Alafu Mwigulu ni mchumi wa darasani ajawahi practice uchumi nje ya serikali kama akina Dkt.Mpango ambao wamefundisha vyuo vikuu na baadaye kufanya kazi World bank then kuwa Katibu wa tume ya mipango ya nchi.Sasa niambie Mwigulu alisha fanya kazi wapi za kiuchumi?That guy has no exposure at all in as far as economic management is concerned!
Weka uchawa pembeni,jadili hoja!
 
Huyu Mpina ni TAPELI MCHAWI mwenye gubu baada ya mjomba wake JPM kufariki. Huyu alipewa uwaziri na ndani ya muda mfupi akawa mwizi mzoefu. Ni maumivu tu yanamasumbua, hakuna Rais aliyeharibu uchumi kama zwazwa mjomba wake.
 
Huu ukweli kaanza kuusema Lin? Mbona alikuwa kimya enzi zile za giza. Huyu ni mnafiki tu kama wengine. Wale wananchi wanaomlalamikia zile heka elfu 1000 alizowanyang'anya enz za giza amerudisha?
 
wawekezaji walikuwa wanakimbia nchi hii kila kukicha lakini yeye anakwambia yupo na wanyonge
Tutajie majina ya wawekezaji waliokimbia nchi, mwekezaji makini kama Bakhresa, Mengi Kampuni kama TBL, Serengeti, Coca Cola, Pepsi mbona hawakufunga na kukimbia wakati wa magufuli. huyo aliyekimbia labda alikuwa ni mhalifu
 
Acha uongo awamu hii hakuna anayewindwa,
Muwindaji wa wakosoaji tulimzika 17/03/2021
Tundu Lissu, Lema, Mdude na viongozi wengine wa Chadema ni ushahidi tosha

Awamu hii nani kapigwa risasi kwa kukosoa serikali?
Kwa kweli tarehe 17/03/2021 itabaki kuwa siku ya ukombozi kwa kuondokewa na mtu mwovu kuwahi kutokea duniani
 
Huyu na mwenyewe mwizi tu,haya mbona hakuyasema kipindi Cha shetani Jiwe?watu wa ccm ni kama mazimwi!wanashinda wanatutajia matatizo tuliyonayo badala ya kusema suruhisho,sasa Raisi wa nchi anasimama anasema bei kubwa za vyakula zinaumiza wananchi!!au anasema pesa za pre burgain zimeibiwa!!sasa anataka sie wananchi tufanye nini?tumpige dole la kati Ili ashituke au!!!
Ccm ni kama waumiani wanyonya damu,wwnachokifanya ni kupumbaza wananchi tu!!confuse them with erratic information!!wananchi wanabaki wamepigwa na bumbu wazi kwamba sasa wamuonee huruma Raisi au wamtukane,
 
mwigulu anaongea bila takwimu mpina anatumia taarifa ya cag na taarifa ya kamati ya bunge nani sasa hajui mambo anayeongea kwa takwimu au anayepiga tu kelele bila takwimu
Me nadhani mh Mwigulu amekili kwamba ni kweli wametumia fedha nje ya bajeti kwamba kuna fedha ambazo zilitumika kuwapa watoto ambao hawakupata mikopo ya elimu ya juu( wanafunzi walikopeshwa) na hizo fedha serikali ilikopa billion 70+, na tsh billion 160, zilitumika kwaajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa , vyumba 8,000, na mh Nchemba analikumbusha bunge na umma kwa ujumla je hayo majengo ya vyumba vya madarasa havionekani? Je kwa sasa bado kuna watoto wanalandalanda mitaani bila mikopo ya elimu ya juu??
 
Mh.Mpina alikua mbunge wakati wa awamu ya tano?kuna mwenye clips zake kuhusu mchango wake bungeni kipindi cha mwendazake, maana ya kuuliza hii ni kutaka kujua impartiality ya Mhe huyu
Aliamua mpaka kupima urefu wa samaki waliokuwa wakiuzwa kwenye canteen ya Bunge maana yake ni kwamba hata wakati huo alikuwa ana msimamo na akalaumiwa na waheshimiwa wenzie kwa kitendo kile !!
 
Let me laugh....Uchumi wa kununua V8 ya 400M wakati shule haina tundu la choo, sasa hao wachumi kama wewe wanapatikana sayari ya wapi kwa mfano?
Unanilazimisha nikudharau ujue!
Kwakweli wapo wachumi na wachumia tumbo! Sasa sijui nani ni nani !!
 
Angekuwa Yuko serekalin Wala asingezema haya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nani kilaza kati ya mpina mwenye gpa ya 2.1 na mwigulu mwenye gpa ya 4.6 udsm tena ya uchumi.
Huna ujualo wewe! Gpa kubwa ya nchemba imekusaidia nini wewe mpuuzi?

Hana ubunifu wowote wa kiuchumi hata kidogo, anabuni kuwawekea tozo masikini? Ndio elimu kubwa aliyònayo?
Kilicholetwa mezani na CAG ni ulipwaji wa pesa za serikali kwa kampuni iliyositishiwa mkataba na bunge na kampuni ililipwa bila idhini ya bunge? Halafu majibu hata hayana miguu wala mkia na hayatokani na hoja ya Mpina yaliyotokana mkaguzi wa hesabu za serikali wewe unatuleta gpa ya kipuuzi tu isiyo na faida?

We jamaa, kwani umeishia darasa la ngapi? Mbona hata huwezi kuelewa chochote zaidi ya kutaja gpa,

Nani kakwambia sisi tunakula gpa na kuwaogopa wenye nazo hata kama ni ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…