Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

Hapo ndo alianza kuharibu ndo mana graduates mpaka Leo ni kazi kuwamaliza mtaani mana JPm aeshaharibubkila kitu kwa kuwarundika bila ajira yaani wanamaliza vyuo hawajui waendi wapi kwa sababu jpm ameshawafukuza kwa ujinga wake tu
 
Nashangaa na wwe umeingia huu mtego!!! Kwa staili hii CCM itaongoza milele..

Huyo jamaa anaongea sababu kanyimwa uwaziri ila akipewa atageuka kama Polepole, Bashiru, na Kabudi. Walipigania sheria na Katiba ila walipopata madaraka wakasahau.

Mpina alikua machachari tokea akiwa mwenyekiti wa kamati ya biashara na uwekezaji kama sikosei. Alikua wa moto sana enzi zile ila alipopata unaibu wote tuliona alivyo under perform.

So tuache kuingia huu mkenge, Hawa wabunge wa CCM sio wa kuwaamini kabisa.
 
Hapo ndo alianza kuharibu ndo mana graduates mpaka Leo ni kazi kuwamaliza mtaani mana JPm aeshaharibubkila kitu kwa kuwarundika bila ajira yaani wanamaliza vyuo hawajui waendi wapi kwa sababu jpm ameshawafukuza kwa ujinga wake tu

Tunataka uwekezaji wenye tija…..tujenge nchi yetu…

JPM was right
 
Tunataka uwekezaji wenye tija…..tujenge nchi yetu…

JPM was right
Maisha Huwa hayasimami hata siku moja. Alitaka watu wafe ili wafaufuke siku moja wakute ajira au
 
Sawa

Ajibiwe hoja zake…

Kila jambo na wakati wake…Tunataka wabunge wanaohoji…sio bora liende tu…pesa za walipa kodi zinachezewa tu bila mpangilio…
 
Ajira Sasa hivi private sector zimejaa na Bado zinaendelea kumwagika mana wawekezaji wanakijua daily hata shule tu kwa Sasa hata zile zilizofunga zimefungua biashara hivyo watu wanaajiruwa japo kuwamaliza watu wote Bado kutokana na jpm kurundika graduates kibao mtaani
Kuna ajira sasa hv?!…watu hawafi?!
 
In your dreams
 
Sawa

Ajibiwe hoja zake…

Kila jambo na wakati wake…Tunataka wabunge wanaohoji…sio bora liende tu…pesa za walipa kodi zinachezewa tu bila mpangilio…
Hoja ipi? Anapigia kelele malipo nje ya bajeti ila anasahau JPM kununua ndege nje ya bajeti ila hakupiga kelele!! Wengine wakifanya hivyo hivyo ndio eti ufisadi? Undumilakuwili hauwezi kutusaidia kma taifa.

Point yangu ni kwamba hawamchukulii serious sababu wanajua anachokitaka. Ni sawa na Bahsiru akipigia kelele katiba mpya kwa Sasa nani atamuelewa?

Hoja zinaenda na credibility otherwise haziwezi fanyiwa kazi. Bashe aliwahi sema TISS ivunjwe tuanze A ila alipopewa uwaziri akaikana Ile kauli. So hata Mpina soon atapewa uwaziri tutarudi hapa kufukua nyuzi akikana maneno yake!!

Endeleeni kuhadaika tu na CCM
 
Nani kilaza kati ya mpina mwenye gpa ya 2.1 na mwigulu mwenye gpa ya 4.6 udsm tena ya uchumi.
Hakuna uhusiano wa moja kwa moja katiya GPA na uwajibikaji katika kazi.

Wapo wenye elimu za kawaida lakini wanatema madini kama MH. KISHIMBA.
Tena apewe udaktari wa heshima
 
Hachukuliwi serious na nani?! Spika ama Waziri

Wananchi tunataka majibu….hizo political games zao hazituhusu….
 
Hachukuliwi serious na nani?! Spika ama Waziri

Wananchi tunataka majibu….hizo political games zao hazituhusu….
Unfortunately majibu hutoyapata coz hayupo serious ila angeongea mtu ambaye hajawahi kuwa compromised hii habari Inge trend sana.

Na ndio maana Kuna faida ya kuwa na upinzani bungeni. Enzi zile JK alikua anampa mafile Zitto na uliona jinsi alivyopata attention Hadi mawaziri kufukuzwa.

Wampe hata Gwajima hizo data ingawa ni Yale Yale ila walau atasikilizwa. Huyo Mpina Hana lolote no wonder kaambulia kura sifuri uchaguzi wa NEC taifa.
 
Katiba mpya ndio mpango mzima
 
Safi mods kwa kumpiga ban mleta uzi. Sasa atumie ID yake nyingine ya jingalao
 
Jimboni kwake kukoje?
 
Ngoja tuone
 
Mwigulu hana facts mkononi!
Mpina anazo facts mkononi!
Mpina anaitumia ripotivya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali!

Mbona mwenyekiti wa Bunge amempa kinga Mwigulu...pale alipokataa #Mpina kuja na majibu mbele ya waziri?
 
Mpina na malaya
 
Nani kilaza kati ya mpina mwenye gpa ya 2.1 na mwigulu mwenye gpa ya 4.6 udsm tena ya uchumi.
GPA tunaziona kwenye michango yao....., Gulu kaachwa mbali sana na Pina.hapo ndo utajua kuwa kuna GPA za mchongo kama ilivyokuwa PhD ya Bwana yulee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…