Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Umewageuka leo?Adhabu yeyote ni kudhirishia umma kuwa bunge zima na betina wameramba mkopo wa sukari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewageuka leo?Adhabu yeyote ni kudhirishia umma kuwa bunge zima na betina wameramba mkopo wa sukari!
Hata ikitokea amepata adhabu kali lakini ameweza kufikisha ujumbe wa uozo na udhaifu wa serikali ya wasakatonge na wachumia tumbo, hakuna anayeweza kuuficha ukweli wa jambo hasa mambo ya aibu kama haya aliyoyaibuwa Ndugu Luhaga Mpina. Ni aibu kuona kwamba Waziri mzima unashindwa kufuata utaratibu na kuvunja sheria za Nchi hili jambo sio la kufumbiwa macho hata kidogo, bunge lina wabunge zaidi ya mia tatu lakini wabunge wanaopambania maslahi ya nchi hata watano hawafiki, sasa watu hawa kuna haja ya kuitwa wabunge au wagonga meza ?Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali
Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu
Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu
Ngoja tuone
Mlale Unono 😃🐼
Kwani unadhani wao huwa wana akili za kufikiri kesho? hao ni wachumia tumbo akili zao zinawaza pale walipo tu.Wapinzani wanaomba usiku na mchana pale CCM itakapojichanganya wakampa adhabu mpina, wananchi wa Jimbo lake watamfuta kokote atakapoenda.
CCM isikubali kuingia kwenye mtego wa mpina hata Yule spika atumie Akili kubwa Sana juu ya sakata hili vinginevyo na yeye ataingia kwenye shida kubwa ya kashfa ya ufosadi
MADUDU YAMESHA PENYA MITAANI, MAUCHAFU YOTE YAPO MITAANI, HAYA MAUCHAFU NDIYO TURUFU ZA UPINZANI, CHAMA SAFI KINAJISAFISHA CHENYEWE, HII NI DOSARI KUBWA WAKATI HUU, CCM ITAFAKARI KWA KINA,Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali
Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu
Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu
Ngoja tuone
Mlale Unono 😃🐼
Sijawageuka ila nipo kwenye uhalisia wangu wa kila siku!Umewageuka leo?
Kwa kifupi Mpina amemaliza mwendo bungeni, hatakanyaga tena!Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali
Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu
Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu
Ngoja tuone
Mlale Unono 😃🐼
Mungu wa Mbinguni huangalia Mpenda Haki Mmoja bali Shetani huwaangalia Watenda dhambi wengi 😀Kwa kifupi Mpina amemaliza mwendo bungeni, hatakanyaga tena!
Yule mwehu aliweka bunge la chama kimoja Kwa mtutu wa bunduki Ili atawale milele! Atawale mizimu Sasa!!!Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali
Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu
Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu
Ngoja tuone
Mlale Unono 😃🐼
Sio rahisiApo apo wakijichanganya upinzani wanawapiga bao
Kwenye hili, Luhaga Mpina amewabananisha wenzake kwenye Kona mbaya na ya hatari sana.Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali
Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu
Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu
Ngoja tuone
Mlale Unono 😃🐼
Nadhani biashara ya mabasi inalipa Sana.Ummy, Masauni, Kijaju je?
Mpina karibu kwa wasafi Chadema. Mpina watamtema ubunge kura za maoniWahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali
Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu
Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu
Ngoja tuone
Mlale Unono 😃🐼
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili
- - Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
Hawa wote ni wala rushwa wakubwaNadhani biashara ya mabasi inalipa Sana.