Tetesi: Mpina atapata adhabu kali kwa sababu hili ni Bunge la Chama kimoja

Tetesi: Mpina atapata adhabu kali kwa sababu hili ni Bunge la Chama kimoja

Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali

Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu

Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu

Ngoja tuone

Mlale Unono 😃🐼
Hata ikitokea amepata adhabu kali lakini ameweza kufikisha ujumbe wa uozo na udhaifu wa serikali ya wasakatonge na wachumia tumbo, hakuna anayeweza kuuficha ukweli wa jambo hasa mambo ya aibu kama haya aliyoyaibuwa Ndugu Luhaga Mpina. Ni aibu kuona kwamba Waziri mzima unashindwa kufuata utaratibu na kuvunja sheria za Nchi hili jambo sio la kufumbiwa macho hata kidogo, bunge lina wabunge zaidi ya mia tatu lakini wabunge wanaopambania maslahi ya nchi hata watano hawafiki, sasa watu hawa kuna haja ya kuitwa wabunge au wagonga meza ?
 
Wapinzani wanaomba usiku na mchana pale CCM itakapojichanganya wakampa adhabu mpina, wananchi wa Jimbo lake watamfuta kokote atakapoenda.

CCM isikubali kuingia kwenye mtego wa mpina hata Yule spika atumie Akili kubwa Sana juu ya sakata hili vinginevyo na yeye ataingia kwenye shida kubwa ya kashfa ya ufosadi
Kwani unadhani wao huwa wana akili za kufikiri kesho? hao ni wachumia tumbo akili zao zinawaza pale walipo tu.
 
Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali

Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu

Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu

Ngoja tuone

Mlale Unono 😃🐼
MADUDU YAMESHA PENYA MITAANI, MAUCHAFU YOTE YAPO MITAANI, HAYA MAUCHAFU NDIYO TURUFU ZA UPINZANI, CHAMA SAFI KINAJISAFISHA CHENYEWE, HII NI DOSARI KUBWA WAKATI HUU, CCM ITAFAKARI KWA KINA,
-- ¦>>>Bashe astaafu kwa hiyari katika kukisafisha chama, kwa hasira zilizopo possibly mgawanyo wa crime money ulikuwa mpana sana na kufikia kugusa baadhi ya viongozi wengi.
 
Wanaompa info mpina ni wakubwa kuliko namba moja na huyu Tulia!!

The state wameamua kum provoke namba moja ajichanganye ili wapatw uhalali wa kufanya kile ambacho wanataka na umma usapoti;

Kitambaa cheusi katika Bunge la Marekani by Tumia akili!
 
Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali

Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu

Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu

Ngoja tuone

Mlale Unono 😃🐼
Kwa kifupi Mpina amemaliza mwendo bungeni, hatakanyaga tena!
 
Sio mara ya kwanza kufikishwa kwenye kamati ya maadili ya bunge. Naamini hata hili litapita
 
Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali

Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu

Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu

Ngoja tuone

Mlale Unono 😃🐼
Yule mwehu aliweka bunge la chama kimoja Kwa mtutu wa bunduki Ili atawale milele! Atawale mizimu Sasa!!!
 
Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali

Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu

Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu

Ngoja tuone

Mlale Unono 😃🐼
Kwenye hili, Luhaga Mpina amewabananisha wenzake kwenye Kona mbaya na ya hatari sana.

Na huyu bwana Luhaga Mpina ile kupeleka ushahidi wake kwa Spika na hapohapo kufanya Press Conference kuelezea hatua kwa hatua kila alichokiwasilisha kwa Spika na kuumwaga ushahidi huo hadharani, si kwamba alikuwa hajui kinachokuja. Na sio kwamba alikuwa hajui consequences zake. Si kwamba alikuwa hajui kanuni za Bunge zinasemaje.

Generally speaking, ni kuwa huyu bwana si mjinga. He knows exactly what he's doing. Hopefully kuwa amejiandaa kwa lolote.

Kikubwa ni kuwa ameiweka CCM na serikali ya CCM kwa ujumla ktk njiapanda. Wamakonde husema, UKIKIMBIA NCHALE, UKISIMAMA NCHALE na UKIKAA NCHALE. Kwa maana kwamba uamuzi wowote watakaochukua dhidi yake kwenye hili, hautawapa nafuu yoyote. Kilichopo mbele yao ni kupima tu uamuzi gani una madhara nafuu kuliko mwingine.

Wakumbuke tu kuwa hizo nyaraka za ufisadi huo wa CCM (Rais Samia kupitia kwa waziri wake Bashe na Mwigulu), tayari ziko mikononi mwa wapinzani wao wa jadi Tundu Lissu na CHADEMA kwa ujumla. Wakijichanganya tu watapigwa spana mpaka wataanza kutafuta SMG zilipo!!

Mimi naona hili, kuwa, Kuna baadhi ya vigogo wa serikali wakitolewa sadaka. Bashe atapona. Mtandao wa mafisadi utamlinda maana Rais Samia Suluhu Hassan mwenyewe kupitia kwa mwanae ndiye mhandisi wa ufisadi huu.

Huu ni ushahidi wa waziwazi kuwa ndani ya serikali na CCM Kuna mgawanyiko mkubwa kuhusu u - Rais wa huyu mama.

Nimejaribu kufikiria hata namna Luhaga Mpina alovyopata nyaraka za kuthibitisha tuhuma zake.

Ni kwamba amezipata kwa haraka sana, kwa urahisi sana tena zingine zikiwa nyeti sana toka ktk taasisi nyeti za serikali ili kuishikisha adabu serikali hiyohiyo. Hii ni kuonesha kuwa Kuna watu ndani ya serikali na taasisi zake hawaridhishwi na namna huyu mama anavyoenda pamoja na baadhi ya wateule wake maalumu.

Hili kundi jingine ndani ya serikali hiyo hiyo lililoachwa solemba, lisiliopata mgawo wa rushwa za uuzaji rasrimali za Tanganyika kwa waarabu wa mashariki lenyewe liko tayari kumwaga mboga. Kina Luhaga Mpina ni wapambe tu!!
 
“Don’t shoot the messenger”

Ukimsikiliza Mpina kwa makini hawezi kufanya research na kutoa ushahidi wote ule wa kina peke yake.

Ana tarehe ya barua ambayo wizara imeandika kutoa vibali kwa wenye viwanda in short notice (lazima kuna mtu wa wizarani).

Anaelewa ‘lead time’ ya kuagiza sukari toka unapata kibali ni siku ‘60-90’ kwa hivyo kama ni kufidia shortages unatakiwa kuwapa vibali watu miezi mitatu kabla (kuna mtu body sukari kampa hizo info).

Ana information za Brela za kampuni za Magumashi kama hizo za stationary (kupewa vibali) kuna mtu wa Brela.

Na mambo mengine luluki aliyoongea kama unaelewa changamoto za kupata info zote hizo kwenye research. Jumlisha na maelezo ya Mpina anaweza kutoa mpaka references number za documented details.

Elewa hizo info kakusanyiwa na TISS

Watanzania wagumu kuelewa ‘intelligence services’ maana yake ni mchezo wa akili.

Shida ni elimu yetu ingekuwa inafundisha critical thinking kwa wasomi waliopo bungeni (kwa mujibu ya qualification vyao, uhalisia wengi magumashi), ilitakiwa waelewe nani yupo nyuma ya Mpina (yeye mwenyewe awezi pata diverse of information kama zile za taasisi mbali mbali) only TISS inaweza kusanya zile info na kumpa Mpina report.

Maana yake nini TISS wanajua ufisadi wa Bashe washamchoka wanataka atoke hapo, na ukizingatia budget kubwa anayopewa pengine ni hiyo wizara ni chaka la ufisadi hadi Ikulu.

Binafsi nadhani hilo ni onyo la kistaarabu, Bashe kama ana akili timamu inatakiwa kuelewa the game is over.

Huyo Betina poyoyo tu, Lissu anaweza jibu upuuzi wake wa kujiamulia kutafsiri kanuni za bunge anavyotaka ili kuwanyamizisha. Betina mwenyewe hajui kama anatumika kwenye kichwa chake anailinda CCM.

Usalama wa taifa (intelligence services) ni mchezo wa watu wenye akili kama jina lake lilivyo. Namna pekee pekee anaweza toa ushahidi ule ni kuna watu kadhaa wanamkusanyia na watu pekee wenye manpower hiyo ni TISS.
 
mimi nashindwa kuelewa uhuru wa hiyo kamati kwa sababu inafanya kazi baada ya maelekezo ya spika,kwani wao hawawezi kuona kosa la mhusika wenyewe bila kuagizwa na spika?
 
Ni kweli ataadhibiwa Hata kama HANA kosa. Spika kampeleka huko kwenye kamati mara nyingi sana. Hiyo yote ni kutaka kumyamazisha bahati mbaya walishindwa mara zote.

Walijaribu kumuita kichama mkoani kwake napo akawashinda. Nakubaliana na mleta mada, mara hii hatoboi, kwasababu Mpina kuipeleka issue kwa wananchi ni tatizo kwa ccm.

Alitaka habri ile iwe siri ili wamny'onge, lakini Mpina alikuwa mjanja akaiweka report hadharani, hilo ndio kosa la Mpina.
 
Majizi ya kura 2020 yanararuana wakati mzuri sana mvune mlichopanda October 2020
 
Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali

Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu

Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge hili limebakiza mwaka mmoja tu

Ngoja tuone

Mlale Unono 😃🐼

PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili

- - Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
Mpina karibu kwa wasafi Chadema. Mpina watamtema ubunge kura za maoni
 
Back
Top Bottom