yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,530
- 1,961
Wewe ni **** kbs,hujui hata tofauti kati ya mbunge na waziri.Alikuwa wapi kukemea toka kipindi kile cha ukiukwaji mkubwa wa haki kipindi cha jiwe.
kama kweli kuna state ambayo inashughurikia watu kwa ajili ya kusimamia ukweli hiyo itakuwa hopeless state.tuatarudi yale yale mliyokuwa mnayalalamikia lkn leo mnaanza kushabikia state kusghurikia watu.huu ni upuuzi mwingine na hali hiyo itasababisha watu waanze kuichukia hiyo state na waanze kuchukua sheria mkononi.state ambayo haitathamini haki za binadamu hiyo itakuwa satanic state.Huu ni upuuzi Kama kweli kasema haya basi Mpina ni mjinga.
State ikitaka kukushughulikia haitahitaji yote hayo. Ni chap Kwa haraka unabaki masikin
Salute mkuu,Ni bora kufa na siyo kumsujudia binadamu mwenzako ili kupewa kile ambacho tena ni halali yako!
Wewe ni wewe, usilinganishe mtu mwingine na ujinga wako!
Wewe wasujudie hao watu! Kwetu sisi, wa kusujudiwa ni Mungu pekee
Mpaka sasa, Dunia ilishameza watu kibao, hivyo, hatuogopi kufa kwa sababu hata wao watafuata
Mwigulu ana siasa za kipuuzi sana."....tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"
"....brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba ( JPM) angeniacha salama?!"
"....yule kijana ( Mwandishi wa TBC )aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na V8 akapangwa cha kwenda kureport including wale Viongozi wa kijiji walitumiwa fungi la kutosha ili pamoja na wao wawatafute wakina mama wenye shombo pale kijiji kile wakatengeneza sinema nzuri ya kuropoka!"
"...acha wapige kelele na hata wakitaka hilo eneo acha wachukue muhimu watambue sitonyamaza abadani!"
Mpina.
TutakupaaaaaaKatavi, Mara, Singida, Tabora, geita, Kagera, mwanza, shinyanga, simiyu, kigoma, dar , arusha, kilimanjaro, manyara , mbeya, iringa, morogoro, dodoma, na kigoma hizo kura zinakutosha 2025 chukua fomu baba Mpina.
Mpina hazungumzii state ndugu anasema kuna watu wako nyuma ya huo mpango kwa manufaa binafsiHuu ni upuuzi Kama kweli kasema haya basi Mpina ni mjinga.
State ikitaka kukushughulikia haitahitaji yote hayo. Ni chap Kwa haraka unabaki masikin
Aende wakamfurahishe kama walivyomfurahisha Nyalandu.Safari kuelekea Chadema imeanza
Soma uelewekama kweli kuna state ambayo inashughurikia watu kwa ajili ya kusimamia ukweli hiyo itakuwa hopeless state.tuatarudi yale yale mliyokuwa mnayalalamikia lkn leo mnaanza kushabikia state kusghurikia watu.huu ni upuuzi mwingine na hali hiyo itasababisha watu waanze kuichukia hiyo state na waanze kuchukua sheria mkononi.state ambayo haitathamini haki za binadamu hiyo itakuwa satanic state.
Sauti ya HAKI haijawahi kunyamazishwa.huyu mpina kama vipi ashughulikiwe kimyakimya .....polepole ananyamazishwa kimyakimya na kufikia 2025 hatosikika tena.
Safari kuelekea Chadema imeanza
State ndio nani huyo?Huu ni upuuzi Kama kweli kasema haya basi Mpina ni mjinga.
State ikitaka kukushughulikia haitahitaji yote hayo. Ni chap Kwa haraka unabaki masikin
CCM kuna genge la wahuni!!Unajua watu waache lawama mtandaoni watuambie ni kesi namba ngapi na mahakama gani ya ardhi wananchi wamefungua na hawasikilizwi kama hamna hizo ni mbinu chafu za ccm dhidi ya ccm msema kweli
Support yangu kwako Mpina ✔️"....Tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"
Brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba (JPM) angeniacha salama?!"
"Yule kijana (Mwandishi wa TBC)aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na v8 akapangwa cha kwenda kureport including wale viongozi wa kijiji walitumiwa fungi la kutosha ili pamoja na wao wawatafute wakina mama wenye shombo pale kijiji kile wakatengeneza sinema nzuri ya kuropoka!"
"Acha wapige kelele na hata wakitaka hilo eneo acha wachukue muhimu watambue sitonyamaza abadani!"
Mpina.
Sasa wewe hapa unaelewa kitu gani, lakini upo unalishwa tu bure. Si heri huyo mwalimu angechukua hiyo nafasi unayoshikilia wewe huku kichwani ukiwa huna kitu?mpina punguza kinyongo......sidhani kama una uchungu na maumivu kufikia aliyonayo muhitimu wa kozi ya ualimu mwenye shahada aliemaliza chuo toka mwaka 2015 na mpaka leo hajapata ajira na umri unakwenda bila ramani yoyote
Wewe mwenye impact ongea basi usikikehana impact yoyote yule nyau tu
Hivi huko ndani ya CCM hakuna tena watu wenye akili ya kufikiri?Safari kuelekea Chadema imeanza
Mmemdukua?Mpina
Na watu wote waseme amen."....Tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"
Brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba (JPM) angeniacha salama?!"
"Yule kijana (Mwandishi wa TBC)aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na v8 akapangwa cha kwenda kureport including wale viongozi wa kijiji walitumiwa fungi la kutosha ili pamoja na wao wawatafute wakina mama wenye shombo pale kijiji kile wakatengeneza sinema nzuri ya kuropoka!"
"Acha wapige kelele na hata wakitaka hilo eneo acha wachukue muhimu watambue sitonyamaza abadani!"
Mpina.