johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwenye maslahi akili hufifishwa!Hivi huko ndani ya CCM hakuna tena watu wenye akili ya kufikiri?
Kwa nini aende CHADEMA kama huko ndani ya CCM wamo wenye akili za kuweza kutambua yanayosemwa na kuchukua maamuzi huku huko ndani ya chama!
Mnataka hicho chama kifike ngazi gani ya ubovu ndipo mtambue kuwa siyo chama tena cha siasa, bali kimebaki kuwa chama cha majambazi/manyang'anyi ya mali za waTanzania?
Mpina atikise huko huko, kama bado kuna watu wanaojitambua, wajitokeze na kumuunga mkono.
mpina ni msaka tonge mkuuUkweli ni ukweli haijalishi umeanza kusemwa lini. Mkuu kwani ukiwa mtenda dhambi ujanani huruhusiwi kuanza kutenda mema uzeeni?
yupo mmoja anauzaMwenye makosa ni huyo mhitimu ambaye umri Unakwenda yeye amebaki amebung'aa tu akisubiri ajira yenye malipo kiduchu
Sasa wewe hapa unaelewa kitu gani, lakini upo unalishwa tu bure. Si heri huyo mwalimu angechukua hiyo nafasi unayoshikilia wewe huku kichwani ukiwa huna kitu?
Luhaga Mpina kamnyima nini huyo mwalimu unayemzungumzia?
Hao wanaomwandama Mpina ndio wanaompambania huyo mwalimu wako?
Ndiyo maana unajipachika jina la hovyo namna kaa kimya wewe mwana ccom
Huyu jamaa mbona hajielewi..sitonyamaza abadani!"
Hapa ndio umethibitisha kwamba kweli eneo unalo wewehata wakitaka hilo eneo acha wachukue
nani kakudanganya yuko Havana Cuba anashine kuliko waziri wa nishati 😁huyu mpina kama vipi ashughulikiwe kimyakimya .....polepole ananyamazishwa kimyakimya na kufikia 2025 hatosikika tena.
Wewe mpumbavu ungewezaje kuwa Rais? Magufuli mwenyewe akiwa Rais ameshindwa kumuua sasa wewe mavi ya mbwa utawezaje?Tundu lissu alistahili kupata alichokipata,tena ningekuwa mtawala ni mimi,ningetoa amri hadharani.huo ndio ujira wa msaliti.
huyu mpina kama vipi ashughulikiwe kimyakimya .....polepole ananyamazishwa kimyakimya na kufikiria 2025 hatosikika tena.
Kila aendaye kinyume lazima jiwe la gizani limgonge,Cha ajabu Snipper hajulikani@mkubwa,kati na muntu ndogo wote kilio.Haya sasa chukueni hilo eneo
Ashawambia
Ova
Kipindi hicho alikua waziri,na kwa taratibu za ccm hupaswi kupingana nao ukiwa waziri; aliyewahi kufanya hayo akiwa waziri ni Augustine Lyatonga Mrema Tu,kidogo ukiwa mbunge unaweza ku challengehayo anayoyasema kimsingi yanaweza kuwa ya kweli sawa......lakini mbona kipindi cha msukuma mwenzie alikuwa kimya?
Ndio zao wahuni ila watagonga mwamba soon😂"....Tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"
Brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba (JPM) angeniacha salama?!"
"Yule kijana (Mwandishi wa TBC)aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na v8 akapangwa cha kwenda kureport including wale viongozi wa kijiji walitumiwa fungi la kutosha ili pamoja na wao wawatafute wakina mama wenye shombo pale kijiji kile wakatengeneza sinema nzuri ya kuropoka!"
"Acha wapige kelele na hata wakitaka hilo eneo acha wachukue muhimu watambue sitonyamaza abadani!"
Mpina.
Sikubaliani nawe.Kwenye maslahi akili hufifishwa!
Huna lolote.mpina ni msaka tonge mkuu
yupo mmoja anauza
Ataenda ACT WAZALENDOSa akiacha ubunge atasema wapi majungu yake
Ccm hatunaga akili na mpina kasibitisha ilo
Umepigwa na kitu kizito Mwandishi wa TBCmpina punguza kinyongo......sidhani kama una uchungu na maumivu kufikia aliyonayo muhitimu wa kozi ya ualimu mwenye shahada aliemaliza chuo toka mwaka 2015 na mpaka leo hajapata ajira na umri unakwenda bila ramani yoyote
Hadi Ummy? Namuonga innocent sanaa, kumbee woiiiiiii, mbna hatariiii lolMakamba, Bashe, Nape, Mwigulu, Ummy ni watu hatari sn