Ana maana kwa lipi zaidi?Huyu ndio mtu pekee wa maana kule ma CCM. Mungu amtunze na kumlinda
Kwani huwa linavaa hata kyupi basi?Mwashambwa Leo analala bila kyupi
Mpina anasema hajaitwa na kamati kusikilizwa, wewe bibi unasema aliitwa, ulikuwepo siku akiitwa utuwekee ushahidi hapa wa picha nasi tuone?Unasifia ujinga? Anajielewa nini, haukusomwa ushahidi alioutowa bungeni na kamati kifungu kwa kifungu, ikawa hakuna ushahidi hata mmoja?
Halafu anasema Spika hajamsikiliza, wakati Spika kumtendea haki kaiambia kamati u-ishughulikie na kama ti imewaita yeye na Bashe, ili isiendeshe hili suaa upande mmoja.
Huyo ana maumivu na chuki za kijinga.
Mtu kuambiwa apeleke ushahidi maana yake ni nini kama sio kutuhumiwa? Spika amemtuhumu kusema uongo, ndio maana akataka ushahidi toka kwa Mpina ili athibitishe madai yake.Ana maana kwa lipi zaidi?
Eti spika amaemtuhumu, wakati spika kamwambia apeleke ushahidi kama yu mkweli, ni takwa la kisheria za bunge unapomtuhumu kuwa ni muongo.
Huyu sasa nimeamini maneno ya Msukuma, ana matatizo binagsi, tazameni hata macho yake yanaashiria ni mwehu fulani.
Basi chanzo cha chuki yao kinajulikanaHampendi Mpina hadi anatetemeka, wanakikundi chao, wanaongozwa na Faiza fox.
Mpina kaongea mpaka kajamba, sikiliza dakika 59 sekunde 39.Mtu kuambiwa apeleke ushahidi maana yake ni nini kama sio kutuhumiwa? Spika amemtuhumu kusema uongo, ndio maana akataka ushahidi toka kwa Mpina ili athibitishe madai yake.
Bibi unazeeka vibaya. Anyway kwani siku hizi madrasa mnafundishwa ufisadi na kusema uongo?!
Kama umefikia hatua ya kumuamini Msukuma kapimwe akili, Mpina anaenda mahakamani mwambie dadako awapange majaji mapema, ila kama majaji wakisikiliza hiyo kesi fairly, kwa kipengele kimoja tu, kumpa adhabu bila kumsikiliza Mpina, mtaumbuliwa na dadako mapema sana.
Mpina kaongea mpaka kajamba, sikiliza dakika 59 sekunde 39.Hampendi Mpina hadi anatetemeka, wanakikundi chao, wanaongozwa na Faiza fox.
Hahaha ningeshangaa, kama usingekuja.Mpina kaongea mpaka kajamba, sikiliza dakika 59 sekunde 39.
Umeusikia ushuzi wa mpina eeh?Hahaha ningeshangaa, kama usingekuja.
Mnakaa lini kumfukuza? Maana najua anawaudhi sana.Umeusikia ushuzi wa mpina eeh?
Namba 2 na 3 ni hewa tu, labda wakavushe watu kile Kigongo Busisi au Kivukoni1. Mpina
2. Makonda
3. Ally Happy
4. Kabudi
Ndio nawaona kuvusha nchi
Mpina anawajambisha kweli kweliUmeusikia ushuzi wa mpina eeh?
Mpina anawapiga spana Kote koteUnasifia ujinga? Anajielewa nini, haukusomwa ushahidi alioutowa bungeni na kamati kifungu kwa kifungu, ikawa hakuna ushahidi hata mmoja?
Halafu anasema Spika hajamsikiliza, wakati Spika kumtendea haki kaiambia kamati u-ishughulikie na kama ti imewaita yeye na Bashe, ili isiendeshe hili suaa upande mmoja.
Huyo ana maumivu na chuki za kijinga.
Mbona nyie ndiye wenye matatizo mkiongozwa na supika et al. Tunawazoom tu na mmeshajisahau sana, hamna tofauti na walevi wa gongoAna maana kwa lipi zaidi?
Eti spika amaemtuhumu, wakati spika kamwambia apeleke ushahidi kama yu mkweli, ni takwa la kisheria za bunge unapomtuhumu kuwa ni muongo.
Huyu sasa nimeamini maneno ya Msukuma, ana matatizo binagsi, tazameni hata macho yake yanaashiria ni mwehu fulani.
Kuvusha nchi hii kuelekea wapi?1. Mpina
2. Makonda
3. Ally Happy
4. Kabudi
Ndio nawaona kuvusha nchi