BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
- #81
Tatizo ni maitiTuna hitaji mawazo tofauti km ya mpina ila kwakua bongo mawazo km hayo ni chukizo kwa mama abdul na chawa wake lazima mpina aonekane mpumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni maitiTuna hitaji mawazo tofauti km ya mpina ila kwakua bongo mawazo km hayo ni chukizo kwa mama abdul na chawa wake lazima mpina aonekane mpumbavu
Ww Sasa ndo wale nyumbu wa CHADEMA wanaosemagwa..... kuna haja gani ya kufata taratibu wakati wengi wanaumizwa na Bei ya sukari Kwa ajili ya uhuni wa cartels chache?Kama unakiri alizingua kwenye baadhi ya taratibu kwanini tena useme Bashe alikuwa sahihi?!
Una tatizo upstairs.
Wabongo hawaaminiki 😀😄😄Mpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi.
Ushauri wangu kwa Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, kutetea Maiti, ni bora wakae kimya au wapiganie ugali wa watoto wao ila sio kutetea wajinga wa hii nchi. Au basi akateta hata Tembo wasiuwawe anaweza pata thawabu kutoka kwa Mungu.
Kuwa mwanaharakati Tanzania ni ujinga bora kuwa mwana harakati wa kutetea mbwa wa mtaani na Paka ila sio kutetea Wabongo. huwa nawashangaaa sana wanao watetea wabongo nawashangaaa sana tena mno.
Bora kama inawezekana vuka mipaka kawatetee hata Wakenya au Waganda ila sio Wabomgo.
Siku zote nasema, SHETANI WA TANZANIA 🇹🇿 ana nguvu kumzidi MUNGU WA TANZANIAMpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi.
Ushauri wangu kwa Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, kutetea Maiti, ni bora wakae kimya au wapiganie ugali wa watoto wao ila sio kutetea wajinga wa hii nchi. Au basi akateta hata Tembo wasiuwawe anaweza pata thawabu kutoka kwa Mungu.
Kuwa mwanaharakati Tanzania ni ujinga bora kuwa mwana harakati wa kutetea mbwa wa mtaani na Paka ila sio kutetea Wabongo. huwa nawashangaaa sana wanao watetea wabongo nawashangaaa sana tena mno.
Bora kama inawezekana vuka mipaka kawatetee hata Wakenya au Waganda ila sio Wabomgo.
Mkuu kumbe huwa kuna mashindano ya hashtag, ni hapa jf au wapi? Nilikuwa sifahamuAkishavunjwa uti wa mgongo mtashindana kwa hashtag
Aisee achana na habari hiyo mkuu.Mapori bado yako mengi sana
Kwahiyo upinzani wafanyaje?Kwahiyo unasema Mpina awe CHAWA?
Sijasikia Maria, Upinzani, Shangazi, sijui Mange wala nani kumpa sapoti Mpina au kupaza sauti kwa maslahi mapana ya wasio na vipaza sauti nchini hapa!
Ngoja izungumzwe URAIA PACHA sasa......, wazazi kuwekwa kwenye kona n.k, hutoamini hizo kelele zao
Tembea ujioneeAisee achana na habari hiyo mkuu.
Mapori yanaisha kwa kasi kubwa sana.
Hifadhi zinaongezwa kwa kasi mana wakipewa Wageni wanajali wanyama zaidi ya binadamu.
Hakuna mtu anayemiali binadamu mbele oa maslahi yake.
Hivi unajua wakati Mwalimu anatangaza kutaifisha mashamba na mali za Wazungu watangayika walikua mil. 14.
Ardhi ikawa mali ya serikali . Kwa sasa hifadhi na ardhi inarudi kuwa mali ya wageni . Mwingira ambaye mzawa ana Kesi nyingi sana za ardhi lakini chanzo ni watendaji na baadhi ya wenyeviti wa mitaa na vijiji kuwa na tamaa ya kuuza ardhi kwa wageni wanaotoa rushwa kubwa
Mafano:
Tanga kuna Mwarabu alikuja kuwekeza kwenye kilimo cha ufuta . akaweka miundombinu yake. lakini baadae alisema kuwa ndege ni wengi sana na wanaharibu ufuta wake. Ghafla akageuka na kuwa mkulima wa Mkonge.
Allipewa zaidi ya ekari elfu 6 .
Wakati huo huo wazawa wahangaika kununua maeneo ya watu viekari viwili vitatu kulima Mkonge.
Ekari elfu 6 wangegawiwa vijana mia mbili kwa wastani wa ekari 30 kila mmoja na wakawezeshwa kidogo walime mkonge baada ya miaka 5 vijana wangekua na maisha bora zaidi.
Cha ni mtu mmoja na analima zao lisilohitaji madawa waka mbolea wala teknolojia ya kisasa.
Kuna wakati wananchi wa maeneo hayo waliandamana kudai huyo mwarabu wa Jodan apunguziwe enweo hilo lakini haikusikilizwa hoja hiyo.
Hapo bado huko Mvomero ambapo wakulima na wafugaji wanauana kigombania ardhi .
Achilia mbali Lolilondo .
Hapa namaanisha kuwa siku moja itafika ambopo wamasai watakosa ardhi ya kufuga na wasukuma na wagogo na wambulu na wanayaturu na wahazabe hapo ndio watakapokimbilia mijini na huko ndipo watakapoanza kuandamana kudai haki zao zinapoporwa na wanasiasa
Mkuu mimi naishi vijijini na nimeishi vijiji kuanzia miaka ya 90 mikoa mbali mbali l,na sasa tofauti kubwa sana ya haya yanayofanyiaka leo miaka kumi ijayo patakua na hali tete sana . Kwanza ardhi haipatikani kirahisi tena mana serikali imehodhi ardhi kubwa na inageuzwa kuwa hifadhi.Tembea ujionee
Vijiji gani umeishi?Mkuu mimi naishi vijijini na nimeishi vijiji kuanzia miaka ya 90 mikoa mbali mbali l,na sasa tofauti kubwa sana ya haya yanayofanyiaka leo miaka kumi ijayo patakua na hali tete sana . Kwanza ardhi haipatikani kirahisi tena mana serikali imehodhi ardhi kubwa na inageuzwa kuwa hifadhi.
Wasukuma na wamasai ndiyo makabila makubwa na yenye watu wengi waliotapakaa nchi nzima kwa ajili ya ufugaji achilia mbali wagogo. Hawa watafikia mahali watakua hawana mifugo na maeneo ya kufuga . Ardhi inabadilika kwa ajili ya kilimo mana kwa sasa pameibuka kilimo cha mazao kama mkonge ambao watu wanalima mkonge maeno mengi sana ya nchi hii. Wafugaji kwa wingi wao watafanya kazi gani wakati wengi wao hawajapata elimu yenye kuweza kuingia kwenye ajira nyeingine tofauti na ufugaji
Mpina kishajulikana waliopo nyuma yake. Hawatofanikiwa kwa kuwa wamempa kazi yao poyoyo.Mpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi.
Ushauri wangu kwa Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, kutetea Maiti, ni bora wakae kimya au wapiganie ugali wa watoto wao ila sio kutetea wajinga wa hii nchi. Au basi akateta hata Tembo wasiuwawe anaweza pata thawabu kutoka kwa Mungu.
Kuwa mwanaharakati Tanzania ni ujinga bora kuwa mwana harakati wa kutetea mbwa wa mtaani na Paka ila sio kutetea Wabongo. huwa nawashangaaa sana wanao watetea wabongo nawashangaaa sana tena mno.
Bora kama inawezekana vuka mipaka kawatetee hata Wakenya au Waganda ila sio Wabomgo.
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili
- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
- LIVE - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
Mkuu, tatizo ni hiyo uraia pacha?Kwa sababu Maria na Mange ndio wamezaliwa kwa kazi hio, si ndio?
Kwani wamewahi kufanya nini cha maana?Kwahiyo upinzani wafanyaje?
Nakazia.Kuishi Tanzania ni laana
Mpina hakutetea wananchi bali alitetea viwanda vya ndani vya sukari, Sheria na taratibu kufuatwa. Bashe ndiyo aliyetutetea Ili wananchi tupate sukari ya bei nafuu.Mpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi.
Ushauri wangu kwa Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, kutetea Maiti, ni bora wakae kimya au wapiganie ugali wa watoto wao ila sio kutetea wajinga wa hii nchi. Au basi akateta hata Tembo wasiuwawe anaweza pata thawabu kutoka kwa Mungu.
Kuwa mwanaharakati Tanzania ni ujinga bora kuwa mwana harakati wa kutetea mbwa wa mtaani na Paka ila sio kutetea Wabongo. huwa nawashangaaa sana wanao watetea wabongo nawashangaaa sana tena mno.
Bora kama inawezekana vuka mipaka kawatetee hata Wakenya au Waganda ila sio Wabomgo.
PIA SOMA
- Spika Tulia amburuza Luhaga Mpina Kamati ya Maadili
- Luhanga Mpina apewa siku 10 na Spika kuleta ushahidi wa Bashe kulidanganya Bunge
- Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya
- Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia
- LIVE - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
Kesho yetu ni kubwa sana , bila kujali chochote mpina mpaka sasa Ameisha jitengenezea historia ambayo haitakuja futika leo au kesho, amefanya kile kimestahili kuifanyia nchi ,Mpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi.