Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII"​

Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?

Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.

Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.

Habari zaidi, soma:
  1. Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
 
Kwani Ticts haikuwa ya wageni?
Nongwa ni kukaribisha wageni wengine???
Hoja yake ndio muhimu kuijadili

Kujifananisha na Marekani si sawa hata kidogo, mifumo yao ya kuwajibishana kwa atakaye kwenda kinyume na maadili imepangika vizuri, hapa kwetu mifumo mibovu sana

Tupate katiba nzuri ndio tuanze hiyo michezo, iwe rahisi kuwabana wakora
 
Serikali wakanushe kama jambo hili halina ukweli,

Kufilisika kwa nchi huchagizwa na mambo makuu mawili

#Serikali kujiruhusu iwe ya Kifisadi

#Serikali kuruhusu kufanya kazi na watu wajinga wasio na uwezo, watu wajinga kuwekwa kwenye wizara nyeti zinazochochea uchumi kama kina J & N na Mw
 
Hoja yake ndio muhimu kuijadili

Kujifananisha na Marekani si sawa hata kidogo,mifumo yao ya kuwajibishana kwa atakaye kwenda kinyume na maadili imepangika vizuri,hapa kwetu mifumo mibovu sana

Tupate katiba nzuri ndio tuanze hiyo michezo,iwe rahisi kuwabana wakora
Umempa ukweli

Rwanda wanatushinda halafu mtu anatupeleka mbali eti marekani
 
Unabinafsishaje bandsri mkuu si unaweza kuingiziwa container la kuja kupindua nchi .je utamlaum Nani
mbona TICTS haijaingiza hilo container la kupindua miaka yote hiyo tangu ilipopewa hiyo bandari? Au unadhania hiyo ni kampuni ya wenyeji?

Halafu sisi ndiyo tunalalamika miaka yote hiyo kuwa mambo bandarini hayaridhishi lakini leo tunataka walewale tunaowalalamikia waendelee miaka mingine.
 
MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII"​

Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?

Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.

Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.

Bandari zote Duniani zimepangishwa, Wajamaa mna mambo ya kijinga sana
 
Zipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Ziko ndiyo kwa viumbe wenye talent siyo hawa viumbe wanaowaza kuiba kuanzia asubuhi mpaka jiooni. Nasikia lugha kwa sasa kila sehemu ni ubinafsishaji mbaya zaidi kuna makanjanja wamewatanguliza mbele. Katika hili hawa majanga wasije na record za nje bali reference iwe humu humu ndani. No wonder WB kucha kutwa ni kuisifia miradi ya nchi. Guys just no far tutawakaba hizo koo na urafi wenu
 
Back
Top Bottom