Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huku watakodishiwa makadaZipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku watakodishiwa makadaZipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Tatizo linalotia wasi wasi ni aina ya mikataba ambayo tunaingia...!Zipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
historia ndiyo inayofanya watu kuwa negative.uwekezaji katika nchi hii huwa mara unafanywa kwa rushwa.ukiona wabunge wanakomalia uwekezaji ujue wao wako nyuma ya makampuni hayo.wananchi kwa sasa wakisikia tu uwekezaji wanajua tayari janga lingine linakuja.viwanda vingi walivyopewa wawekezaji sasa ni magodauni,mfano mzzuri ni urafiki.nchi za afrika zina shida kwenye uwekezaji.negativity yetu inatusumbua, kila kitu lazima tupinge tu.
Kila kinachofanywa Marekani nasi tuige...haya iga ushoga basi!.Zipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Zipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Huyu jamaa yupo kwenye payroll, imagine badala ya kuchakata hoja ya Mpina anamshambulia binafsi (personal attack),ujinga mtupuUnafananisha Marekani na hizi nchi za kiafrika (specifically Tz) katika mifumo ya kuendesha nchi?
-Kaveli-
TICKS walikodishwa na walikuwepo kwa zaidi ya miaka 20, he serikali ilifilisika au TICKS walikuwa wazawa?Hoja yake ndio muhimu kuijadili
Kujifananisha na Marekani si sawa hata kidogo,mifumo yao ya kuwajibishana kwa atakaye kwenda kinyume na maadili imepangika vizuri,hapa kwetu mifumo mibovu sana
Tupate katiba nzuri ndio tuanze hiyo michezo,iwe rahisi kuwabana wakora
Kuna uhuru wa kujieleza kweli kama tunavyoaminishwa na awamu hii?
Waziri Mwigulu unaogopa nini kuelezwa ukweli, mbona kila mtu anajua sasa hivi dola imeisha na wafanyabiashara wanapata taabu sana kuagiza bidhaa nje ya nchi?
Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?
Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.
Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.

Watumishi gani hao!!?wa jamhuri hii hii au yawapi!!?Serikali kweli haina pesa. Imagine Hadi leo watumishi hawajalipwa.
Madelu anaendelea kusaini mikataba itakayo endelea kutuumiza.