Haziwezi kufanana .kwa kuwa saa100 ndo alyeenda dubai kuomba omba kwa hiyo mshart laizma tukubaliane yaeJe terms and condition alizoingia DP world na inchi zingine ni zile zile tulizopewa cc hapa ?
Nyie mnajivunia Huyu bwana kufanya kazi na Inchi zingine kama USA ndio maana mnamkingia kifua , mngeleta mikataba ya huko tuka compare clauses za artcles kwenye mkataba pengine tungeongea lugha sawa.
Kubinafsisha hiyo Bandari sio tatizo , tatizo ni hizo clauses , zinatubinya Mbupu hujapata kuona.
Muda utatukosoa ngoja tuone.
Zipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Terms na conditions za mikataba ya Marekani na hii wanayotaka kuingia na Tanzania zinafanana? Kama umeiona mikataba ya Marekani tuwekee hapa ili tuwe na uelewa mpana wa namna wanawekeza, lakini ukikomaa tu kwamba wamewekeza huku na kule bila kujua conditions za mikataba yao, unakuwa ni uvivu wa kufikiri!Zipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Si bora wanahisa wawe hao kina karamagi pesa zao zitazurura humu humu nchini, kuliko kuwapa waarabu ambao watapelwka pesa kwao na kutuachia ukata tuMpina kalipwa na Karamagi...
Ilikuja taarifa hapa Karamagi kawapanga wabunge machachari.
M
Karamagi alikuwa mwana hisa Ticts ambao wameondolewa..dili wamepewa Wengine
Terms na conditions za mikataba ya Marekani na hii wanayotaka kuingia na Tanzania zinafanana? Kama umeiona mikataba ya Marekani tuwekee hapa ili tuwe na uelewa mpana wa namna wanawekeza, lakini ukikomaa tu kwamba wamewekeza huku na kule bila kujua conditions za mikataba yao, unakuwa ni uvivu wa kufikiri!
Zipi lakini sio zote. FikiriaZipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII"
Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?
Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.
Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.
Wanaweza kuwadhibiti wapinzani lakini siyo wezi wa bandarini, wala hawezi kuboresha huduma bandarini zikawa shindani kimataifaNchi ina majanga hii.
Wanasiasa kuweni na huruma basi.
Mkielewa pia kufa kupo, na kila mtu atatoa hesabu yake namna alivyowatendea wenzake mbele za Mungu. Hakuna kitu kinauma jamani kama urithi wetu kutolewa kwa wageni.
Hii ni ajabi sana!Wanaweza kuwadhibiti wapinzani lakini siyo wezi wa bandarini, wala hawezi kuboresha huduma bandarini zikawa shindani kimataifa