Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Hoja anayo

Serikali maeneo nyeti ya nchi kwenye biashara iendeshe yenyewe (state capitalism )

1)madini (Mali asili)
2) bandari

Ongezea,nawewe
3) Misitu na wanyama, Mipaka, Bahari, Maziwa na Mito
4) Usafiri wa uma (public transport) reli, ndege, meli na anga
5) Elimu pamoja na vyuo vikuu
6) Mahakama na magereza
7)Polisi, Uhamiaji na Ulinzi pamoja na Benki kuu
8) Mali asili zote pamoja na Gas na Mafuta
 
91d629f8-4bee-4cd1-926e-a1fb51a260a2.jpg
 
Huku watakodishiwa makada
Huyu mpina nimwehu kweli nimeamini nikichaa mlivyokuwa mnavuruga wavuvi nakuiba malizawatu hamkujuwa kuwa mnavuruga uchumi walipakodi mmewakata miguu namikono sasa serekali watapata wapi pesa?madhara ndiohayo sasa angalia ulipojikwaa sioulipo angukia .pesa ulizo kusanya zawavuvi nikiasi gani mpina? Namalizao zipowapi ulizokwapua we we nakichaa mwenzako? Hakuna mtu wahovyo kama mpina
 
Zipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Hatuwezi kujilinganisha na Marekani ikiwa katiba yetu inazuia watawala kushitakiwa mahakamani.

Huko Marekani hakuna kinga ya kushitakiwa RAIS akileta uhuni anapandishwa kizimbani.

Hebu tuambie sasa Marekani itafananishwaje na USA?
 
Huyu mpina nimwehu kweli nimeamini nikichaa mlivyokuwa mnavuruga wavuvi nakuiba malizawatu hamkujuwa kuwa mnavuruga uchumi walipakodi mmewakata miguu namikono sasa serekali watapata wapi pesa?madhara ndiohayo sasa angalia ulipojikwaa sioulipo angukia .pesa ulizo kusanya zawavuvi nikiasi gani mpina? Namalizao zipowapi ulizokwapua we we nakichaa mwenzako? Hakuna mtu wahovyo kama mpina
Dada angu toka umekuwa mjamzito umekuwa na maneno ya shombo sn
 
Dada angu toka umekuwa mjamzito umekuwa na maneno ya shombo sn
Niite baba yakowemjinga acha kubet unasikia webimdogo danga wewe siomaisha hayo mwambie mumewako mpina alikusanya kiasi gani navifaa vyetu wavuvi amepeleka we danga lampina
 
Leo nimesikia mama mmoja mpaka mkorogo
akisisitiza kuwa CCM
hili la Bandari walibebe wakaombee kura kwa wananchi wao!
 
Zile nchi ambazo hazina bandari zinashangaa huu upuuzi wa ccm kukodisha bandari, I mean mtoto wa fukara anashangaa vile mtoto wa tajiri anamwaga chakula kwa shibe, wabunge mbumbu wametumika kama stamp ila majuto yatakuja, hivi kweli hata Muumba aliyetupa hizi bandari anatushangaa ni vile yeye ni mwenye huruma, ila shetani Leo anagonga mvinyo na mapepo wake kwa hili balaa, tumekwishaaa
 
Zipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Wamarekani wanapata gesi, mafuta, soko la silaha na ukibaraka mashariki ya kati kutoka kwa Dubai.
 
Serikali wakanushe kama jambo hili halina ukweli,

Kufilisika kwa nchi huchagizwa na mambo makuu mawili

#Serikali kujiruhusu iwe ya Kifisadi

#Serikali kuruhusu kufanya kazi na watu wajinga wasio na uwezo, watu wajinga kuwekwa kwenye wizara nyeti zinazochochea uchumi kama kina J & N na Mw
Huu ni ukweli. Atakayepinga atakuwa haelewi vizuri.
 
Back
Top Bottom