Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

nimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.

nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.

kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?

au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Unaiulizia Tanganyika tuliyoizika kwa maelekezo ya baba wa taifa?!!!

Uko nchi gani mgosingwa?

Rest easy JK Nyerere amen[emoji120]
 
Nchi. Nzima imeishauzwa,Sasa hv hata ardhi ya taasisi nyeti kama jeshi,imeuzwa inajengwa flemu za biashara,
Lugalo pale Dar,ardhi imemegwa ili kujenga flemu. Za biashara.
Jiji linapanuka....

Utakuja kupigwa butwaa siku moja kusikia baadhi ya kambi za jeshi zinasogezwa nje ya mji.....

Hivi Lugalo palikuwa hivi kulivyo kule Kawe Ukwamani ?!!!

Hivi Gongo la Mboto palikuwa hivi kulivyo kule Majohe kabla na baada ya kuvuka reli?
 
Nakuona Kama unatabu Sana kisaikolojia....na hii serikali ya Samia inawakosesha vyakuongea maana mipunga inamwagwa kwenye miradi huko na watumishi nao wanapata stahiki zote bila kelele...... ubarikiwe sana mh. Rais Dr. SSH
Aaaaaamin aaaaaamin [emoji120]
 
Hujui lolote, kaa kimya. Mleta mada anazotaarifa wewe zero, kwa taarifa tayari wafanyakazi wa Bandari sasa hivi wanapewa orientation ya namna ubinafisishaji utakavyoendeshwa, ulivyo zoba umechovyeshwa kias Asali kidogo unakuwa mshangiliaji taifa lako kuuzwa. Inamaana uwekezaji wa zile gati alizofanya marehemu leo wahuni wanakwenda kula kirahini daaah
Hayati JPM alipigia kelele kutosomana kwa mifumo ya TEHAMA....hakufanikiwa....mama alimuelewa hayati JPM na yeye anakwenda kulifanikisha hilo....[emoji3578]
 
nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.
Zinafanya vizuri???!!!! Ufisadi , wizi na udokizi plus urasimu bila kusahau rushwa inayofanywa huko bandarini halafu unasema inafanya vizuri?

Bandari ingesimamiwa vizuri ingetisha kabisa kutoa mapato ya kukidhi bajeti ya nchi.

Watanzania ni wezi sana, acha waarabu waje wasimamie sisi tukusanye Kodi tu
 
Mh.Rais SSH ataendelea kutufanyia makubwa sana aaamin[emoji120]

Ajira kwa vijana....
Ongezeko la mishahara.....
Kufanikisha hili la kusomana mifumo ya TEHAMA kati ya TPA na TRA......bandari inakwenda kutupa mapato nusu ya bajeti ya nchi.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Zamu ya Wazanzibar kula. Imagine Rais Mwinyi wa Zanzibar ameenda Yara uni kumuwawakilisha Rais wa Tanzania lakini yuko busy kusign mikataba ya Zanzibar. Sometimes is seriously wrong....!!? Kwa nini Rais wa nchi a sign mikataba ya Zenji!?
Kumbe huwa kuna zama za maeneo ya nchi kula ?!!![emoji15][emoji15]
 
Zinafanya vizuri???!!!! Ufisadi , wizi na udokizi plus urasimu bila kusahau rushwa inayofanywa huko bandarini halafu unasema inafanya vizuri?

Bandari ingesimamiwa vizuri ingetisha kabisa kutoa mapato ya kukidhi bajeti ya nchi.

Watanzania ni wezi sana, acha waarabu waje wasimamie sisi tukusanye Kodi tu
[emoji7]
 
Kumbe huwa kuna zama za maeneo ya nchi kula ?!!![emoji15][emoji15]
Jiulize ni kwa nini Rais akiwa Mbara Wazenji wanapiga sana kelele....!? Au Jiulize wakati wa awamu zilizopita Wazenji wangapi walikuwa wanapata teuzi. These days kila Zuhura akiibuka hukosi Wazenji wawili au watatu kwenye teuzi.
 
Hujui lolote, kaa kimya. Mleta mada anazotaarifa wewe zero, kwa taarifa tayari wafanyakazi wa Bandari sasa hivi wanapewa orientation ya namna ubinafisishaji utakavyoendeshwa, ulivyo zoba umechovyeshwa kias Asali kidogo unakuwa mshangiliaji taifa lako kuuzwa. Inamaana uwekezaji wa zile gati alizofanya marehemu leo wahuni wanakwenda kula kirahini daaah
Huko ndo kuuzwa?
 
nimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.

nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.

kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?

au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Acha ushamba huo ni uwekezaji! Hizo bandari wewe ukipewa unaweza kuendesha kwa ufanisi!
 
nimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.

nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.

kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?

au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Kila zama na Kitabu chake. Acheni Serikali itekeleze vision yake. Hakuna formula ya kuendesha Nchi. Kila Rais ananamna ya kulivusha Taifa
 
Back
Top Bottom