Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Tungekuwa na upinzani imara hii ni karata ya kuwasha moto
 
Acha kupotosha Bandari haijauzwa.

Hujui lolote, kaa kimya. Mleta mada anazotaarifa wewe zero, kwa taarifa tayari wafanyakazi wa Bandari sasa hivi wanapewa orientation ya namna ubinafisishaji utakavyoendeshwa, ulivyo zoba umechovyeshwa kias Asali kidogo unakuwa mshangiliaji taifa lako kuuzwa. Inamaana uwekezaji wa zile gati alizofanya marehemu leo wahuni wanakwenda kula kirahini daaah
 
nimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.

nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.

kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?

au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Kapige yowe wewe
 
Acha uzushi na umbea
 
Sidhani kama jeshi liko tayari kuwa chini ya utawala wa mtu
Zamani ndio ilikuwa hivyo...

Saiv Kuna mazoea ya hovyoo... Ile Mamlaka ya utawala imekaa kibiashara.. Kiraia.. Sio amri tena
 
nimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.

nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.

kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?

au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Ujinga mtupu
 
Jamii mfu ya bora liende na kujitoa ufahamu
 
infwakt huu sio umbea but we call it ushambenga! Mkuu hzi chuki zako ni vyema ukapigwa misharubela mix katerero za kushanta ukabeba mimba then mtoto ukamuita jmt! Guy ngosha kalala mauti asee!
 
nimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.

nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.

kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?

au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Zamu ya Wazanzibar kula. Imagine Rais Mwinyi wa Zanzibar ameenda Qatar kumuwawakilisha Rais wa Tanzania lakini yuko busy kusign mikataba ya Zanzibar. This is seriously wrong....!!? Kwa nini Rais wa nchi a sign mikataba ya Zenji!?
 
nimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.

nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.

kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?

au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Niliandika hapa mwaka jana mods wakafuta thread yangu nika lalamika wakafuta nahiyo thread JF kwasasa hatupo huru ila tuwasaidia watu kwenda kwenye utajiri
 
Raia pacha wanauza bandari yetu
Raia pacha wanaiba hela ya umma
Raia pacha wanauza twiga nje ya nchi
Raia pacha wanawapa wageni ardhi yetu
Raia pacha sio wazalendo kabisa

Kwanini serikali ya ccm inaogopa raia pacha?. Jee kwasababu diaspora wanaongea ukweli wa moyoni na hawana uoga kama walipo nyumbani au?.

Serikali yetu na diaspora nani si mzalendo?.
 
Back
Top Bottom