Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupotosha Bandari haijauzwa.
Kapige yowe wewenimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.
nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.
kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?
au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Acha uzushi na umbeanimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.
nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.
kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?
au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Zamani ndio ilikuwa hivyo...Sidhani kama jeshi liko tayari kuwa chini ya utawala wa mtu
Ujinga mtupunimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.
nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.
kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?
au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Jamii mfu ya bora liende na kujitoa ufahamunimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.
nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.
kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?
au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
infwakt huu sio umbea but we call it ushambenga! Mkuu hzi chuki zako ni vyema ukapigwa misharubela mix katerero za kushanta ukabeba mimba then mtoto ukamuita jmt! Guy ngosha kalala mauti asee!nimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.
nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.
kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?
au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Kwakuwa alikuwepo leo pale dodoma? Tundu lisu ana miliki bandari ya wapi?Ndiyo furaha ya Tundu Lisu
Zamu ya Wazanzibar kula. Imagine Rais Mwinyi wa Zanzibar ameenda Qatar kumuwawakilisha Rais wa Tanzania lakini yuko busy kusign mikataba ya Zanzibar. This is seriously wrong....!!? Kwa nini Rais wa nchi a sign mikataba ya Zenji!?nimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.
nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.
kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?
au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Niliandika hapa mwaka jana mods wakafuta thread yangu nika lalamika wakafuta nahiyo thread JF kwasasa hatupo huru ila tuwasaidia watu kwenda kwenye utajirinimesikia mvutano bungeni baadhi wakitaka nchi yetu iridhie mkataba wa kuuza bandari kwa miaka sijui 100 na tetezi zinazoendelea baadhi ya wabunge wamehongwa milioni 10 ili wapitishe azimio hilo la kuuza nchi yetu.
nimejiuliza kwanini mwinyi, mkapa, kikwete na hayati magufuli hawakuwahi kuja na uamuzi huu badala yake tumekuwa tukiona mikakati ya kuziboresha tu bandari na zinafanya vizuri.
kiini cha kuuza bandari zetu kwa mwarabu ni nini? ni kushindwa kwa waziri kusimamia tpa? au ni kukosekana fedha za kuboresha? lakini tumeambia kuna zaidi ya trilioni 8 zimepotea kwenye ripoti ya cag kwanini fedha hizo zisingetumika kuboresha bandari?
au kuna nini ambacho watanzania hatukijui.. na je mnadhani watanganyika watakaa kimya mali zao ziuzwe?
Hatuna mkuu.Tuna rais kwani?