Nimemsikia Luhaga Mpina anasema eti tunataka kuwapa DUBAI Bandari zetu waziendeshe?ni kweli haya?
Mi nilidhani tungewapa kwanza private Operations bandari ya Bagamoyo tuone ufanisi wao then ndio tuanze kufikiria haya ya Bandari zingine!
Au ndio ile dhana ya "mtoto msumbufu mpeleke boarding school" asisumbue nyumbani!Is that the best way ya kusolve tatizo la msingi?
Sio Mwinyi,sio Mkapa,sio Kikwete na wala sio Magufuli wamewahi kuota kufanya maamuzi haya!Nini kinasukuma haya maamuzi ya haraka?
Moja ya ishu critical ambayo inaweza kuicost CCM yangu ni hii hapa!Tunahitaji tafakari kubwa sana kabla ya maamuzi haya!
Otherwise,2025 tunatakiwa kuwa na majibu "makubwa" juu ya swali hili nzito la Wananchi!
Tujadili kwa pamoja kwa maslahi mapana ya Taifa!
Sent from my Infinix X6511B using
JamiiForums mobile app