Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Mpina kalipwa na Karamagi...
Ilikuja taarifa hapa Karamagi kawapanga wabunge machachari ...
Karamagi alikuwa mwana hisa Ticts ambao wameondolewa..dili wamepewa Wengine
Unatumia nguvu kubwa kulielezea hili jambo,wakti mtoa maada ameshauri tu,unaaza kutaja watu watakukalia kooni kwa kuchafua brand za watu,hamjajifuza kwa membe na musiba.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Ila si tuliambiwa nchi imefunguliwa ndio maana mnafanya hadi mikutano ya hadhara?
Imefunguliwa ila sheria zilipitishwa na bunge Bado hazijafumuliwa zote. So wakati bado ammendements hazijapelekwa sheria inafanya kazi na ndio hiyo inawanyoosha. Ilianza na Polepole ikaja kwa Gwajima na Sasa ni Mpina.

Ndio maana mnatakiwa tuungane ipatikane katiba mpya Ili hizi rights za maoni ziwe guaranteed wabunge wawe wa CCM au Chadema wawe huru kukosoa pale serikali inapofeli
 
Wafuasi wa Magufuli hata wakitajwa tu wananchi wanalipuka kwa shangwe ,uliona bwawa la Nyerere?
Mpina alikatwa mbona sijaona maandamano Wala Nini?

Ukumbusho wa JPM tu ulidoda sikuona kumbukizi yoyote Ile ya maana ndio sembuse wafuasi wake. Subiri 2025 ndio mtashika adabu vichaa nyie. Narudia Tena hakuna Jimbo litaenda kwa sukuma gang hata mmoja.
 
CHADEMA haitoweza kuchukua DOLA nchi na ika shamiri kwa kuwatenganisha Kabila la WASUKUMA.

Ni kutembeza rungu tu kwenda mbele. Mtu akikupachika Rungu/Jambia tu labda ndio tutaelewana
 
Lakini ndiyo kutwa unazipanda hizo ndege kumfuata mmeo Dodoma
Kama zilinunuliwa kwa pesa za wafugaji sawa lakini kama na mm kuna fwedha zangu za kodi ni ushamba na ujinga uliopotiliza kuwananga wapandqji wq hayo madubwasha. Zaidi ya yote zimeleta faida gani kwa taifa?
 
historia ndiyo inayofanya watu kuwa negative.uwekezaji katika nchi hii huwa mara unafanywa kwa rushwa.ukiona wabunge wanakomalia uwekezaji ujue wao wako nyuma ya makampuni hayo.wananchi kwa sasa wakisikia tu uwekezaji wanajua tayari janga lingine linakuja.viwanda vingi walivyopewa wawekezaji sasa ni magodauni,mfano mzzuri ni urafiki.nchi za afrika zina shida kwenye uwekezaji.
sasa huo ni uzembe wetu wenyewe asilaumiwe mwekezaji. Huyo mwekezaji awe mzungu au mtz kama ni rushwa ni rushwa tu, tena mtz ndiyo atakuwa zaidi na kuturingishia juu.
 
Mpina ana machungu ya Nchi yake.

.....vilevile sio lazima tuwe tunafanana fanana na wengine. Hizi hoja za kuwa 'Ati' na wengine wanafanya hivyo ni uduwanzi. Wakianza kunya barabarani, ndio na sisi Watanzania tuanze kunya barabarani? Halafu ukiulizwa useme, hata Ulaya wanakunya barabarani? Yaani wenzio wawe na matatizo ya akili, halafu wewe uyaigize hayo matendo.(kunya barabarani)....huko sio kuukaribisha tatizo la akili?

Why can't we be Unique? Kwanini tusiwe na ya kujivunia wenyewe?...kwanini tusiweze?

Corruption au Rushwa itokanayo na kuachia Bandari kuendeshwa na wageni ni hatari. Mpina anayaona mengi na anatu tahadharisha, kwani, yupo karibu.
 
Ww ni stupid kwann usikubali hata mm nimekufuatilia una chuki na wasukuma
Mpuuzi wewe, mimi kwetu Ngara kabila langu ni mshubi hao wasukuma ni majirani zangu wa karibu kwanini niwachukie?.

Jikite kwenye hoja punguza kuweka moyoni kila unachokisoma mahali popote ni tabia itakayokuwa ikikuumiza mara kwa mara.
 
CHADEMA haitoweza kuchukua DOLA nchi na ika shamiri kwa kuwatenganisha Kabila la WASUKUMA.

Ni kutembeza rungu tu kwenda mbele. Mtu akikupachika Rungu/Jambia tu labda ndio tutaelewana
Punguza utoto, Kanda ya ziwa miaka yote ni ngome ya Chadema. In fact ndio Kanda iliyotoa wabunge wengi zaidi wa Chadema kabla ya 2015.

Tunaowakosoa ni hao sukuma gang ambao sio Wasukuma kama kabila Bali ni watu wa karibu na JPM kama Bashiru, Mpina,Kalemani, Kitwanga, Ndugai, Makonda etc.

Nasema hivi, Mama Samia aendelee kuwanyoosha mpaka akili ziwakae sawa.
 
Punguza utoto, Kanda ya ziwa miaka yote ni ngome ya Chadema. In fact ndio Kanda iliyotoa wabunge wengi zaidi wa Chadema kabla ya 2015
Kwa Taarifa yako,ngome hiyo hamna tena. 2025 sio mbali. CHADEMA stop the Terrorism of the WASUKUMA tribe.
.

Tunaowakosoa ni hao sukuma gang ambao sio Wasukuma kama kabila Bali ni watu wa karibu na JPM kama Bashiru, Mpina,Kalemani, Kitwanga, Ndugai, Makonda etc.
Sasa mnashida gani ya kuwaita kina Bashiru Kina Bashiru?,au kina Kalemani Kalemani au Ndugai Ndugai mnaruka kuwaunganisha na Kabila la WASUKUMA? Kwanini CHADEMA muendeleze chuki zenu kwa Hayatu na Kabila lake? ambayo ndilo la WASUKUMA kwanini muwaingize Kabila zima katika chuki zenu? Je, itakuwa sawa kwa WAMASAI kudai ISLAMIC GANG ndio waliowafurumusha kutoka makwao? CHADEMA mnadai(sio kweli) kwamba Serikali ya Hayati iliwatenganisha Watanzania. Leo hii, mnahubiri Kabila la WASUKUMA ni genge? mnawezaje kuunganisha Nchi kwa Lugha za Kiutenganishi? CHADEMA mjitathmini. na Muache UGAIDI na Ukimbari
Nasema hivi, Mama Samia aendelee kuwanyoosha mpaka akili ziwakae sawa.

Ugaidi wenu hauta wafikisha popote, sasa kama ni utoto kusema kuwa CHADEMA waache ugaidi na lugha za utenganishi, wacha iwe hivyo. .....Mstaafu Ali Hassan mwinyi alishawahi kusema....."...Mama Samia ni tokeo la Magufuli, mipango yake(ya magufuli) ni mipango yake Samia"
naye mpaka achagulike, bado ni zao la Kura ya Magufuli....tambua hilo. Kazi zinaendelea.
 
MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII"​

View attachment 2633454

Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?

Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.

Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.
Mpina yule hana kitu kichwani mi namjua tangia akiwa Mzumbe, debe tupu lililojaa chuki na uongozi wa mama yetu. Kilichobaki amfuate mshamba mwenzie atamkuta anaongoza malaika
 
Punguza utoto, Kanda ya ziwa miaka yote ni ngome ya Chadema. In fact ndio Kanda iliyotoa wabunge wengi zaidi wa Chadema kabla ya 2015.

Tunaowakosoa ni hao sukuma gang ambao sio Wasukuma kama kabila Bali ni watu wa karibu na JPM kama Bashiru, Mpina,Kalemani, Kitwanga, Ndugai, Makonda etc.

Nasema hivi, Mama Samia aendelee kuwanyoosha mpaka akili ziwakae sawa.
Kwa hiyo mnajisifia kuwa nyumbu?
 
Nikwambie Magufuli atakumbukwa kizazi na kizazi katika jamii ya Wasukuma
Ndo mvumilie chuk kutoka kwa watanzania maana alitubague sisi wengine, akutuumiza alivopenda huku akiwapendelea na kusema nyie msiguswe. Hatutakaa tuzisahau chuki zake na manyanyaso dhidi yetu. Hata hii JF alitamani kuiua!!!
 
Zipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Unalinganishaje kifo na usingizi asee! hawa watawala wetu uwezo wakufikiri nakuchanganua mambo wameupata wapi? Ukisikia wanafanya jambo kwa maslahi ya Taifa manake wanamaanisha Familia zao tofauti na hao unalinganisha nao
 
Hoja yake ndio muhimu kuijadili

Kujifananisha na Marekani si sawa hata kidogo, mifumo yao ya kuwajibishana kwa atakaye kwenda kinyume na maadili imepangika vizuri, hapa kwetu mifumo mibovu sana

Tupate katiba nzuri ndio tuanze hiyo michezo, iwe rahisi kuwabana wakora
Watu wanapenda kujilinganisha na mataifa mengine pale wanapoona kuna jambo linamanufaa upande wao! ukiwaambia mbona huko kuna Katiba inajisimamia hapa kwetu Msajiri wa vyama ambae ni mteule wa Mwenyekiti wa cccm ndio anamteua huyo Msajiri hiyo wanakaa kimya
 
MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII"​

View attachment 2633454

Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?

Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.

Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.
Jana niliangalia kipindi change TV TBC kinaitwa Mizani, nikamsikiliza Prof Issa Shivji, moja ya jambo kubwa katika ubinafsishaji ni kupoteza control kama ilivyotokea kwa nhif ambao waliwawezesha hospital kadha was kadha, kwamba watakuwa watoa huduma wao, labdanum walitegemea iwe X lakini baada ya watoa huduma kuimarika gharama zikawa Y, na sasa mfuko wa nhif unapumulia mashine.
Jingine ni ikiwa kukatokea kuhitafiliana, gharama za kuvunja mkataba zinakuwa shubiri kwa nchi yetu na kicheko kwa mwekezaji. Yaani mwekezaji iwe kushoto au kulia Kwake ni cheko .
Tanzania tuna bandari 3 kwanini tusi kodishe baadhi ya ghati kwa wawekezaji 3 tofauti kama nia ni kuleta ushindani na ufanisi.
 
Back
Top Bottom