Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Sasa Samia si mwema sana?

Kwanini sasa hatengui hiyo sheria?
Imejadiliwa mbona kwenye maridhiano na ni Moja ya sheria zitakazofanyiwa ammendment baada ya bunge la bajeti. Ikiwemo sheria ya uchaguzi na cybercrime etc
 
Huyo naye anatumika tu, anapiga kelele wakati yuko humo CCM na Wala hawamtilii maanani.
 
Back
Top Bottom