Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Kuna tatizo kwa mshauriwa na wanaomshauri.
 
Yaani kukodisha kagati kamoja kwa miaka kumi tu mpina anaita press conference? Mbona yule bilioneya wa marekani tumemkodishia hekta 25,000,000 kwa miaka 100 hampigi kelele. Ni wakati wetu huu sasa tuacheni tulambe asali
Hivi ni vita vya kambi hasimu ndani ya CCM, huyo Mpina ni sukumagang yuko vitani na Msoga gang. Hajatuambia kwa kuwakodishia TICKS taifa lilipoteza nini?

Waachewararuane
 
Ngosha ana nongwa na urais wa SSH kama vile anaumia kila yanapofanywa maamuzi anayodhani yanakwenda kinyume na misingi ya hayati JPM.

Ni maisha ya chuki wanazoamua kuwa nazo baadhi yetu, walisema kuwa watu wa karibu wa SSH ndio walimmaliza JPM mpaka leo hawawezi kuweka ushahidi hadharani wanaishia kuumia tu mioyoni wakikosa jibu.
Wewe jamaa yangu unaonyesha una upungufu kichwani mwako,hasa uwezo wa kuvumilia kusikia ya usitoyapenda,,

Nimekufuatilia sana neno chuki kwa wale wanaotofautiana na mtazamo wako halitoki mdomoni,wewe ndio unachuki sana sana,

Jifunze kusikia usitoyapenda na ikibidi pita kimya,-hatuwezi fanana mitazamo hata siku moja,badala ya kujifichia kwenu chuki,ichape kwa hoja,hoja ya mzungumzaji,itakuondolea kijiba cha roho ulichonacho
 
Upungufu hata wewe unao pia kichwani mwako, kushindwa kuyavumilia maoni yangu bila ya kupita kimya.
 
mbona TICTS haijaingiza hilo container la kupindua miaka yote hiyo tangu ilipopewa hiyo bandari? Au unadhania hiyo ni kampuni ya wenyeji?

Halafu sisi ndiyo tunalalamika miaka yote hiyo kuwa mambo bandarini hayaridhishi lakini leo tunataka walewale tunaowalalamikia waendelee miaka mingine.
Mswahili huwa hana jema hata siku moja. Kulalamika ni sehemu ya DNA kwake.
 
Nape hasimu wa Magufuli ameshindwa kuifuta?
Hameni nchi murudi kwenu Burundi mkaendeleze ukabila wenu huko. Hapa kwetu ukabila na ukanda ulishafutwa tangu 17.3.2021.
Nchi nyingi tu za falme za kiarabu kwamfano zimezuiya kufanya biashara kwa dola kwa sababu ya upungufu wa dola. Kutokana na kuyumba kwa uchumi duniani nako anatawala samia?
 
Kuna uhuru wa kujieleza kweli kama tunavyoaminishwa na awamu hii?
Waziri Mwigulu unaogopa nini kuelezwa ukweli, mbona kila mtu anajua sasa hivi dola imeisha na wafanyabiashara wanapata taabu sana kuagiza bidhaa nje ya nchi?

Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?

Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.

Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.

Mwambie aanzishe chama chake akiite UMOJA PARTY
 
Hiyo sheria aliitunga JPM na ndio mlikuwa mnachekelea media kuzima sauti za kina Lissu na Maalim kwenye mikutano.

Yaani ni hivi, habari ikiwa ya kichochezi au upotoshaji au misinformation basi chombo kinachosambaza kinawekwa hatiani pia.

Sasa kwa kuwa kipindi kile sukuma gang ndio mlikua mmeshikilia buyu la asali mkaona kama mnawakomoa kina Maalim na Lissu. Sasa Leo sheria Ile ile inatumika kwenu ndio mnaanza kulia Lia.

Polepole kipindi chake kilifungiwa kwa sheria Ile ile ya maudhui ya habari.... So tulieni na muonje matunda ya chuki zenu.
Wewe jamaa chenga sana!!
 
Mambo yameiva kuhusu maridhiano ya mkataba katika ya nchi na nchi almaarufu IGA, kwani serikali ya Tanzania na serikali ya Emirati ( United Arab Emirates) tumesaini IGA October 25, 2022 abainisha naibu waziri Atupele Mwakibete .

UNITED ARAB EMIRATES // PORT NEWS

Dubai firm, Tanzania make progress in port investment​

Posted on November 7, 2022
“We signed IGA on October 25, 2022,” - Hon Atupele Mwakibete .
The governments of Tanzania and Dubai will next month finalise discussions on the areas where the Dubai Port World (DP-World) will have to invest in the country’s ports with a view to improving efficiency, it was revealed yesterday in Parliament.

The revelation was made by the deputy minister for Works and Transport, Mr Atupele Mwakibete, during the question and answer session.

The question was posed by Mr Rashid Shangazi (Mlalo-CCM) who sought to know when the implementation of the Memorandum of Understanding (MoU) with the Dubai, United Arab Emirates-based Company will start.

The multinational Logistics Company in February, this year, signed a Memorandum of Understanding (MoU) worth $500 million, with the Tanzania Ports Authority (TPA) to finance various projects aimed at improving efficiency of the country’s ports.

In his reaction, deputy minister Mwakibete said the two governments had signed the Inter-Governmental Agreement (IGA).

“We signed IGA on October 25, 2022,” he revealed.

He went on saying: “This sets a stage for the two governments to start discussion on areas for investments and we are expecting to finalise talks at the end of December.”

He said the discussions were being held in accordance with the law, regulations and procedures to ensure that the investment by the Dubai-based firm made sense to the country.
In his follow-up question, Mr Shangazi also wanted to know how TPA prepared itself in ensuring that the Dar es Salaam port was competitive enough to compete with ports of Mombasa-Kenya, Durban (South Africa) and Beira (Mozambique).

In a swift rejoinder, the deputy minister said the partnership with the DP World was expected to enable the Dar port to increase its competitiveness at the regional and global level and improve quality of services.
“Yes, the competition is tough, but through DP World, the Dar port will increase its efficiency and competitiveness,” said Mr Mwakibete.

He expressed the government’s commitment to shortening the “vessel dwell times” —-the time a ship spends at port securing the vessel, discharging or loading cargo, and other activities.
Elaborating on the matter, TPA director general Plasduce Mbossa told The Citizen yesterday that they were doing all in their power to ensure that cargo was being cleared as quickly as possible.

“This is meant to ensure that the cargo attracts no or little demurrage charges,” recounted Mr Mbossa.

However, until The Citizen went to press yesterday, it did not establish the current vessel dwell times.

Speaking in Parliament yesterday, Ms Hamida Abdallah (Lindi Urban-CCM) was of the view that if the government was to increase the Dar port’s efficiency, it should expedite its talks with the Tanzania International Container Terminal Services (Ticts) on the contract renewal.

Last month Ministry of Works and Transport permanent secretary (Transport docket), Mr Gabriel Migire, told The Citizen that the government had extended the contract for the Ticts by three months to December as the two parties continue with negotiations on the way forward.
Ticts, the only private investor offering container terminal services at berth eight to 11, had its contract expired in September.

Ms Abdallah also called for the government to speed up talks with investors on the construction of the Bagamoyo Port in order to decongest the Dar port.

“Soon the Dar port will be overloaded,” she observed.
Recommending: “As a matter of fact, we need to prepare ourselves for the construction of the Bagamoyo port.”
Reports have it that already several multinational companies had shown interest in developing and operating the $10 billion (about Sh23 trillion) Bagamoyo port and Special Economic Zone

Source - Dubai firm, Tanzania make progress in port investment - DredgeWire
 
Wewe jamaa chenga sana!!
Ndio hivyo mkuu huwa tunavuna tulichopanda. Mama Samia anataka tume huru sio kwa ajili ya CHADEMA Ila hata yeye akinyimwa fomu na CCM basi anaweza enda ACT akagombea huko.

Sasa nyie washamba mliweka sheria kali Leo zimewageuka mnalialia Nini.
 
Kuna uhuru wa kujieleza kweli kama tunavyoaminishwa na awamu hii?
Waziri Mwigulu unaogopa nini kuelezwa ukweli, mbona kila mtu anajua sasa hivi dola imeisha na wafanyabiashara wanapata taabu sana kuagiza bidhaa nje ya nchi?

Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?

Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.

Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.

we hapo panapowasha sana ni wapi, maana unahitaji mkunaji ili upumzike na kuandika upumbavu wako kuhusu hii serikali
 
Kuna uhuru wa kujieleza kweli kama tunavyoaminishwa na awamu hii?
Waziri Mwigulu unaogopa nini kuelezwa ukweli, mbona kila mtu anajua sasa hivi dola imeisha na wafanyabiashara wanapata taabu sana kuagiza bidhaa nje ya nchi?

Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?

Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.

Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.

Mbona ipo wazi kuwa imefilisika, tazama tu leo wafanyakazi wamelipwa mishahara kwa mafungu wengine waendelee kusubiri hadi kodi ikusanywe
 
Wakishakula hayo matunda hatima yake ni nini?

Siasa zenye visasi ni kansa ya taifa
Ndio iwe funzo kwamba tutunge sheria kwa maslahi ya taifa sio kukomoana au kudhani zinatumika kwa wasio serikalini tu.

Mama Samia kajifunza Hilo ndio maana anataka tume huru na katiba mpya
 
Kuna uhuru wa kujieleza kweli kama tunavyoaminishwa na awamu hii?
Waziri Mwigulu unaogopa nini kuelezwa ukweli, mbona kila mtu anajua sasa hivi dola imeisha na wafanyabiashara wanapata taabu sana kuagiza bidhaa nje ya nchi?

Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?

Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.

Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.

we mbwa Magufuli ameshakufa, serikali ikifilisika ni ya babake Mpina? Mpina asifikiri dola imekufa na yule mshamba mwenzake atatulizwa boli bila kutegemea
 
Back
Top Bottom