kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Hiyo sheria aliitunga JPM na ndio mlikuwa mnachekelea media kuzima sauti za kina Lissu na Maalim kwenye mikutano.
Yaani ni hivi, habari ikiwa ya kichochezi au upotoshaji au misinformation basi chombo kinachosambaza kinawekwa hatiani pia.
Sasa kwa kuwa kipindi kile sukuma gang ndio mlikua mmeshikilia buyu la asali mkaona kama mnawakomoa kina Maalim na Lissu. Sasa Leo sheria Ile ile inatumika kwenu ndio mnaanza kulia Lia.
Polepole kipindi chake kilifungiwa kwa sheria Ile ile ya maudhui ya habari.... So tulieni na muonje matunda ya chuki zenu.
Hahahahahahaaa!! Na huu ndio ukweli