- Thread starter
- #101
Ni kweli anachukiwa na watu wachache wenye makelele mengi kwenye social media lakini ukienda site anapendwa sanaNi muhimu sisi kama Chama dume tukubaliane na maoni ya wengi kwa maslahi ya wananchi. Dkt Samia anachukiwa kwa sababu ya kauli zake za kuchonganisha