white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,896
Mitano tu iwe mileleee!!kwani ni suala la machawa kuamua tuBasi Samia 5 tena
Mitano tu iwe mileleee!!kwani ni suala la machawa kuamua tuBasi Samia 5 tena
Utakasoaje malalamiko ya mbunge ambaye yeye ndio anajua hali halisi ya jimbo lake .Ni haki yake kulalamika kama ilivyo haki yangu kukosoa malalamiko yake
Na ile ndio platform nzuri zaidi, kwakuwa "pesa ni zake" na wananchi wapo hapo. Ili aseme mwenyewe kwanini wananchi bado wanamdai na atawalipaje?Ana platforms nyingi sana za kuelezea hizo changamoto
Cheap popularityNa ile ndio platform nzuri zaidi, kwakuwa "pesa ni zake" na wananchi wapo hapo. Ili aseme mwenyewe kwanini wananchi bado wanamdai na atawalipaje?
Mbona kila mara katika ziara zake wabunge huwa wanatoa changamoto na rais anatoa ahadi au anamwita waziri aseme jambo. Imekuwa vipi kwa mpina ndo iwe nongwa?Ziara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea Oktoba 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini hiyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.
Mbunge ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni, kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndio udai maendeleo kunamaanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.
Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .
Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa, Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.
Samialization October tunatiki
Popularity gani anayoitaka kwa watu waliomchagua twice!!! Kazi yake ni kuwasemea wananchi wake, na pale ndio mahali pazuri zaidi maana mwenye "pesa zake" yuko live.Cheap popularity
Mpina ni popular kitambo anaongea vitu vya kweli hana unafki na uchawa .Cheap popularity
Kabisa mkuu hata mimi nimeshangaa. Si mara ya kwanza ni kawaida kwa wabunge kutoa kero za wananchi katika ziara na huwa anatoa maagizo au ahadi. Hii ni personal tu ana hasira na mpinaHivi ni mara ya kwanza Mbunge kueleza shida za jimbo lake kwenye ziara ya viongozi wa kitaifa? Mbona hatujawahi kusikia vijembe kama vya leo?
Semeni tu ukweli, "sindano" za Mpina zimeuma.
Wao waseme tu wana nongwa na Mpina maana sio chawa.Mbona kila mara katika ziara zake wabunge huwa wanatoa changamoto na rais anatoa ahadi au anamwita waziri aseme jambo. Imekuwa vipi kwa mpina ndo iwe nongwa?
Kabisa mkuu yani tena wawili yeye na bashe wana hasira sana naye. Shida ni kwamba hana kifua cha kujishikiliaWao waseme tu wana nongwa na Mpina maana sio chawa.
Bosi wangu ndo vile comments mbaya zingekuwa zinauguza ulipaswa uwe ICU. Rais wetu, Mwenyekiti wetu wa Chama Cheti CCM alipotoka sana kufuata mkumbo wa jizi na fisadi Bashe, Bashe ni mwizi sana na kasababishia watu wengi vifo na maumivu, yaani kwa ufupi Bashe hawezi ku survive bila ufisadi na ukimtoa tu Dkt Samia Bashe anapaswa kufungwa. In short Dkt Samia kila kukicha anaharibu chama! Tunakoelekea tutachukua ushauri wa Dkt Kikwete wa mambo kuharibika tunamtoa na kumuweka Dkt Nchimbi kama mgombea.Ziara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea Oktoba 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini hiyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.
Mbunge ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni, kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndio udai maendeleo kunamaanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.
Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .
Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa, Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.
Samialization October tunatiki
Iko hivi Bashe ni fisadi na jizi, yule mjamaa aliyeleta mbolea ikabuma kisa Bashe anataka rushwa bil 20 mchaga wa watu akafa, leo Bashe ana uhalali gani???? In short Dkt Samia kaingizwa mkenge na BasheKabisa mkuu yani tena wawili yeye na bashe wana hasira sana naye. Shida ni kwamba hana kifua cha kujishikilia
Mcheza kwao hutunzwaAfu km ulifuatilia hotuba ya mpina wananchi walimshangiria sana kulko mama yako ambae walimshangiria kinafiki na kwa makofi kidgo
Nilipaswa niwe icu? Si mchezoBosi wangu ndo vile comments mbaya zingekuwa zinauguza ulipaswa uwe ICU. Rais wetu, Mwenyekiti wetu wa Chama Cheti CCM alipotoka sana kufuata mkumbo wa jizi na fisadi Bashe, Bashe ni mwizi sana na kasababishia watu wengi vifo na maumivu, yaani kwa ufupi Bashe hawezi ku survive bila ufisadi na ukimtoa tu Dkt Samia Bashe anapaswa kufungwa. In short Dkt Samia kila kukicha anaharibu chama! Tunakoelekea tutachukua ushauri wa Dkt Kikwete wa mambo kuharibika tunamtoa na kumuweka Dkt Nchimbi kama mgombea.
Hao hao twaweza wakija na ripoti ya chama cha mapinduzi kinakubalika mnapinga ,yani sijui mnataka nn,mnapenda kusikia mnachokipendaMpina ni popular kitambo anaongea vitu vya kweli hana unafki na uchawa .
Tatizo ccm imejaa machawa na wajingawajinga kama wewe rejea ripoti ya twaweza
Ana platforms nyingi sana zakuwasemea wananchi zenye tija zaidi kuliko ili ya janaPopularity gani anayoitaka kwa watu waliomchagua twice!!! Kazi yake ni kuwasemea wananchi wake, na pale ndio mahali pazuri zaidi maana mwenye "pesa zake" yuko live.
Si mnapenda sifa sana, ndio mtekeleze mahitaji ya wananchi ili wawasifie vizuri. Sio mnasifiwa kwenye hamna.
Siyo machawa wananchi kuamua,wananchi ni mm na wwMitano tu iwe mileleee!!kwani ni suala la machawa kuamua tu
"Inahuzunisha sana"Inasikitisha sana
Ni muhimu sisi kama Chama dume tukubaliane na maoni ya wengi kwa maslahi ya wananchi. Dkt Samia anachukiwa kwa sababu ya kauli zake za kuchonganishaHao hao twaweza wakija na ripoti ya chama cha mapinduzi kinakubalika mnapinga ,yani sijui mnataka nn,mnapenda kusikia mnachokipenda