Ni kweli anachukiwa na watu wachache wenye makelele mengi kwenye social media lakini ukienda site anapendwa sanaNi muhimu sisi kama Chama dume tukubaliane na maoni ya wengi kwa maslahi ya wananchi. Dkt Samia anachukiwa kwa sababu ya kauli zake za kuchonganisha
Kwa hiyo platform nyingine ndio zina tija kulipo platform ya Rais.Ana platforms nyingi sana zakuwasemea wananchi zenye tija zaidi kuliko ili ya jana
Na kwambia hivi huko site bila kusombwa watu kwenye malori mikutano ya samia ingekuwa empty.Ni kweli anachukiwa na watu wachache wenye makelele mengi kwenye social media lakini ukienda site anapendwa sana
Ngoja twaweza waje na matokeo ya ripoti usiyotaka kuisikia ,usije ukawatukana tu hao twaweza,kwa sasa tukubaliane kuwa twaweza ni moja ya taasisi ya tafiti bora na yenye kukidhi viwango vya kimataifaKwa hiyo platform nyingine ndio zina tija kulipo platform ya Rais.
Ki falsafa kwa hiyo unataka kusema Rais hana tija kulipo hao watu wengine.
Wale twaweza kweli walikuwa sahihi kwenye ripoti ya utafiti wao ule kwamba ccm inakubalika na watu wasiokuwa na akili na ambao hawajasoma.
Na wewe ni.mmoja wapo wa hao watu
Kwa mh Rais amekuomba usimame naye ?Ziara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea Oktoba 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini hiyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.
Mbunge ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni, kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndio udai maendeleo kunamaanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.
Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .
Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa, Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.
Samialization October tunatiki
Hapana ndo vile, nenda kila sehemu Dkt Samia anasemwa kutokupewa kura. Kilichoharibu kwanza kabisa ni kushangilia kifo na kumsagia kunguni Dkt Magufuli, kumbuka kauli ya Makamba, lakini lingine ni kushindwa kuelewa nini aongee na wakati gani pa kupatia ushawishi. In short Dkt Samia kauli zake ndiyo zimemmaliza yeye mwenyewe.Ni kweli anachukiwa na watu wachache wenye makelele mengi kwenye social media lakini ukienda site anapendwa sana
Ah kunichunia yule 😂"Inahuzunisha sana"
MWAMBA EE, YULE MSHANGAZI UMEMFICHA WAPI? (inasikitisha sana)
Mm mwenyewe jana nilipanda roli kuelekea kwenye mkutano,hujui kuna baadhi ya maeneo haswa huku kwetu vijijini ukikosa gari la hasubuhi la kwenda mjini ni mpaka kesho?na kiukweli mfano kijijini kwetu Wananchi waliokuwa na hamu ya kwenda kwenye mkutano walikuwa wengi kwa usafiri wa mabasi gharama ingekuwa kubwa na mabasi yasingetoshaNa kwambia hivi huko site bila kusombwa watu kwenye malori mikutano ya samia ingekuwa empty.
Kwa taarifa yako watu waliopo kwenye social media ndio hao hao wapo pia site.
Ndio maana nasisitiza twaweza walikuwa sahihi kwenye ripoti yao
"Kila sehemu "du kweli wabongo kibokoHapana ndo vile, nenda kila sehemu Dkt Samia anasemwa kutokupewa kura. Kilichoharibu kwanza kabisa ni kushangilia kifo na kumsagia kunguni Dkt Magufuli, kumbuka kauli ya Makamba, lakini lingine ni kushindwa kuelewa nini aongee na wakati gani pa kupatia ushawishi. In short Dkt Samia kauli zake ndiyo zimemmaliza yeye mwenyewe.
Fanya upelezi mkuu ndo vile. Yaani Dkt Samia alipendwa sana kama Mama wa taifa ila now kauli ndiyo zinamponza hasa kukaripia wanaomkosoa. Hebu fikiria suala la Gwajima hivi ni akili sawa kweli kulifungia??? Yaani kwenda kupiga mabomu waumini je ni akili??? Yaani hapo alikuwa na pointi za wazi wazi yaani angemtimua waziri wa mambo ya ndani timua na IGP then jilize mbele za watu kusikitikia mauaji, toa kafara waliomuua. Mzee Kibao futa kazi Juma Homera na RPC Mbeya, futa Kazi Chalamila na tumbua Muliro, nakuambia Tanzania italipuka kwa shangwe. Ila now ninakuhakikishia kura kuzipata itakuwa ngumu sana kama kunya mavi ya mtu aliyekula ugali wa mtama akachanganya na mapera"Kila sehemu "du kweli wabongo kiboko
🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿Ziara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea Oktoba 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini hiyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.
Mbunge ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni, kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndio udai maendeleo kunamaanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.
Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .
Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa, Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.
Samialization October tunatiki
Samahani ila nataka kujua kwani yeye ndio mbunge wa kwanza kufanya hivyo?, mbona video zipo nyingi sana za Wabunge kufanya kama alichokifanya katika ziara kama hizi??Ziara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea Oktoba 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini hiyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.
Mbunge ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni, kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndio udai maendeleo kunamaanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.
Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .
Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa, Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.
Samialization October tunatiki
Rais tunakudai,huo ni uchonganishiSamahani ila nataka kujua kwani yeye ndio wa kwanza kufanya hivyo?, mbona video zipo nyingi sana za Wabunge kufanya kama alichokifanya??
Au kwa sasa hairuhusiwi tena?
Twaweza walikuwa sahihi kabisa .Mm mwenyewe jana nilipanda roli kuelekea kwenye mkutano,hujui kuna baadhi ya maeneo haswa huku kwetu vijijini ukikosa gari la hasubuhi la kwenda mjini ni mpaka kesho?na kiukweli mfano kijijini kwetu Wananchi waliokuwa na hamu ya kwenda kwenye mkutano walikuwa wengi kwa usafiri wa mabasi gharama ingekuwa kubwa na mabasi yasingetosha
Chadema I aingie hapa,kama Ngombe na mizigo ndiyo wanabebwa na maroli basi sawaTwaweza walikuwa sahihi kabisa .
Ndio maana wengine wamekufa malori kazi yake kubeba mizigo au wanyama.
Wewe ni sawasawa na ng'ombe mjinga flani usiyejitambua wangewajali at least wangewasomba kwa kutumia ma basi.
Nawapongeza chadema at least hawana ujinga huu wa kosombelea wananchi lakini mikutano yao inajaa
Ile ya jana ni ya kusifia tu si ndio eeeh!!!Ana platforms nyingi sana zakuwasemea wananchi zenye tija zaidi kuliko ili ya jana
Rais tunakudai,huo ni uchonganishiIle ya jana ni ya kusifia tu si ndio eeeh!!!
Sawa sawa profesaMleta mada huna akili.
Kwani hawamdai?Rais tunakudai,huo ni uchonganishi