evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Pole sana embu jitafakari halafu badilika yaani kabisa unapakiwa kwenye Lori au Tractor hata kamani bure kwenda kumsikiliza mtu aliyekuja na Toyota Landcruiser VX.Chadema I aingie hapa,kama Ngombe na mizigo ndiyo wanabebwa na maroli basi sawa
Kwa hiyo ukidaiwa ndiyo utangazweKwani hawamdai?
Cha ajabu ni kipi,mbona ww unanunua bando kudownload nyimbo za Michael Jackson ambaye ni bilioneaPole sana embu jitafakari halafu badilika yaani kabisa unapakiwa kwenye Lori au Tractor hata kamani bure kwenda kumsikiliza mtu aliyekuja na Toyota Landcruiser VX.
Umeona idadi ya dislikes ulizopata?Ziara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea Oktoba 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini hiyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.
Mbunge ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni, kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndio udai maendeleo kunamaanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.
Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .
Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa, Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.
Samialization October tunatiki
Mama ni mtulivu sana hana jazba,labda jazba hulete weweSamia alikuwa na hasira za kobaz wenzie wanavyapata kipondo kule Tehran..
Mimi mtu wa kisesa tunaona yuko sawa Rais wa Kisesa Mpina, sasa wewe nyau pilipili ya shamba inakuwashia nini? Muacheni Mpina wetuZiara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea Oktoba 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini hiyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.
Mbunge ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni, kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndio udai maendeleo kunamaanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.
Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .
Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa, Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.
Samialization October tunatiki
Sifanyagi huo upumbavu hata siku moja.Cha ajabu ni kipi,mbona ww unanunua bando kudownload nyimbo za Michael Jackson ambaye ni bilionea
Nimeona kaka imenipa picha kuwa kuna kikundi cha watu wachache kwenye mitandao kazi yao ni kueneza chuki kwa Rais wetu kipenzi ,ila site Rais anapendwa mnoUmeona idadi ya dislikes ulizopata?
Kwa sababu chawa ni mchafu. Nawe ni mchafu toka kwenye ubongo wako. Umekubali kujingishwa . Nawe umekuwa mjinga tena wa kihalaiki. Kazi za mpina siyo pamoja na kumsifa SAMIA peleka ujinga mbeleYani kwann chawa siyo mbu,mchwa?
Asante kwa ufafanuziKwa sababu chawa ni mchafu. Nawe ni mchafu toka kwenye ubongo wako. Umekubali kujingishwa . Nawe umekuwa mjinga tena wa kihalaiki. Kazi za mpina siyo pamoja na kumsifa SAMIA peleka ujinga mbele
Basi sawa mm mjinga ww ni mwerevuSifanyagi huo upumbavu hata siku moja.
Siwezi hata siku moja kununua bando kwa ajili ya kudownload nyimbo za Michel Jackson sijui kudownload movies.
Pole sana kama unafanya hayo maujinga.
Basi sawa endelea kusombwa kama mizigo kwenye malori na matrackor inaonekana ndio life ulilochagua na umeridhika nalo