Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
- Thread starter
-
- #41
Either way, bado ni kutajwa tu!Usingemtaja ili watakaomtaja uwakosoe uwaambie uzi ni wa Ali Kiba na Marlaw, nadhani waliosema umemtaja Diamond ili uzi upate mvuto wana point hapo.
Inategemeana nani anayepiga kura za kuwachagua nani mshindiDiamond siyo mshindani halisi wa mwanamuziki yoyote katika Tanzania kwa sasa.
Nimefanyia kazi ushauri wako. Refresh your page mkuu ucheki tena!Kuandika kitu kwa maneno machache ukaeleweka inahitaji shule na zoezi.
Mleta thread, una kazi ya kubadili approach ya andiko lako.
Nimefanyia kazi ushauri wako. Refresh your page mkuu ucheki tena!
Wala siwezi kubaki mdomo wazi,every vote counts lakini mwisho wa yote huwa ni kuzijumlisha na majority wins(takes it all).Inategemeana nani anayepiga kura za kuwachagua nani mshindi
Kwangu mimi ukimuweka diamond na dizasta, hutaamini navyokuacha mdomo wazi
Ni probability tu hayo uwazayo, you were supposed to take chances. Je kama asingetajwa?Either way, bado ni kutajwa tu!
Usilinganishe Despacito, au nyimbo za Kihindi and nyimbo za Kicongo kwani zote ni nyimbo za amsha amsha tofauti kabisa na nyimbo za Kiba/Marlaw ambazo ziko kitaarab taarabu(taarabu asilia) na hazina mvuto kwa asiyeelewa lugha. All in all kwao hawakosei kwani hawana fanbase kwenye maeneo yasiyofahamu Kiswahili, hata Madagascar tu hapo karibu na Tz nadhani hakuna anayewafahamu.Una mawazo mazuri lakini umeteleza kudhani muziki mzuri unatokana na lugha.
Wahindi wana nyimbo nzuri na zinatamba almost dunia nzima na watu hawaelewi hata wanachoimba. Wakongo na wale kina Despacito vile vile.
Hayo mengine ya kusema Diamond ni mkali kuliko wasanii wengine sio lengo la uzi huu.
Thubutu! Umtaje Ali Kiba sehemu halafu asitajwe Diamond? I would even bet my last breath on that.Ni probability tu hayo uwazayo, you were supposed to take chances. Je kama asingetajwa?
Mmh! Unatania siyo?Usilinganishe Despacito, au nyimbo za Kihindi and nyimbo za Kicongo kwani zote ni nyimbo za amsha amsha tofauti kabisa na nyimbo za Kiba/Marlaw ambazo ziko kitaarab taarabu(taarabu asilia) na hazina mvuto kwa asiyeelewa lugha. All in all kwao hawakosei kwani hawana fanbase kwenye maeneo yasiyofahamu Kiswahili, hata Madagascar tu hapo karibu na Tz nadhani hakuna anayewafahamu.
Diamond hakuna wakushindana nae Tanzania na hatatokea kamwe ko wewe alikiba kaa na hiyo miaka 40+ ukauze nguo kariakooo ebooooooh.
Sana,kwani wako levels tofauti kabisa.Thubutu! Umtaje Ali Kiba sehemu halafu asitajwe Diamond? I would even bet my last breath on that.
Muhimu la kuzingatia ni kwamba ametajwa Diamond kueleza kuwa yeye sio mshindani halisi wa Ali Kiba. Au ikisemwa hivi inaonekana amedharaulika?
Kwa taarifa yako ninaongea lugha kadhaa(fluently) ambazo haziko Tz lakini ni haivutii kusikiliza wimbo ambao uko kimashairi na ni lugha nisiyoielewa.Mmh! Unatania siyo?
Unatakiwa ujue kuwa music itself is a language. Tena universal language ambayo inaeleweka na kila mtu kwa sababu ni lugha ya hisia tu.
Halafu sio nyimbo zote za kihindi, kitaliano, spanish, Congo zinazopendwa ni za amsha amsha we jamaa. Kalhonaho inachezeka?
NENO ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»π―π―π―π―π―.Kumshindanisha Diamond na mwanamziki yoyote Tanzania ni ujinga, si kwa waliopo au waliokuwepo. Bahati nzuri mi ni mtu wa zamani, najua wale wa zamani na wa sasa.
Ukiweka ushabiki pembeni, kuna wale wasiojua biashara ya muziki(showbiz) wanabaki kusema Diamond alikuwa zamani enzi za "nenda kamwambie" and the likes lakini hawajui dogo amebadilika kulingana na soko, internationally na local(kwa wale wa amsha amsha), muziki wa kuchezeka na ambao unaweza kumfurahisha hata asuyejua Kiswahili.
Kwa sisi tunaoishi na watu wasiojua Kiswahili hauwezi kumshawishi mtu asikilize nyimbo za kina Kiba/Marlaw ambazo wanaimba visauti kama wanaimba taarabu, hakuna mwenye uelewa wa kinachoimbwa na haiwezekani ukamshawishi apende nyimbo za aina hiyo.
Kuwashindasha Kiba na Marlaw inaweza kuwa sawa lakini kumtaja, I mean hata kumtaja tu Diamond katika wanamuziki wa level hizo ni makosa na ni kama kunakuwa na makusudi flani kwani ndiye mtu anayepaisha jina la Tz internationally katika sekta ya burudani.
Angalia fans hata maoni tu popote kwenye social media, angalia impact ya shows zake, angalia endorsements na matangazo na vyote hivi havikuja kwenye silver plate bali ni matunda ya mafanikio katika biashara ya burudani(kuimba vizuri, kujibranda vizuri, kumantain kwenye level ya juu kwa muda mrefu, kufanya kazi kwa bidii, kushikamana na timu yake bila ya majivuno kujiona yeye ndiyo kila kitu).
Hawa nyota wengine wa muziki(Bongo flavour) wangekuwa kiwango cha Diamond hata kufanya nao interview ingekuwa ni shida, kuwa humble pia kunambeba sana, kuushikilia ule Utandale kunamsaidia pia ndiyo diehard fans wake asilimia kubwa ni wale wa uswazi.
Wa kushindanishwa locally waendelee, nyota wanaopaisha jina la nchi kimataifa washindanishwe/walinganishwe na international artists.
Sasa mbona unajichanganya?Kwa taarifa yako ninaongea lugha kadhaa(fluently) ambazo haziko Tz lakini ni haivutii kusikiliza wimbo ambao uko kimashairi na ni lugha nisiyoielewa.
Wimbo unaochezeka/wa amsha amsha huwa haijalishi kama lugha inaeleweka au la.
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna rafiki yangu(a Congolese) tulikuwa tunasikiliza wimbo wa Awilo Longomba akaniambia "ungekuwa unaijua hiyo lugha ungecheka sana,hakuna chochote anachoimba humo bali ni kama kelele tu za 'kibekibe kimbamba' na kurudiarudia kutaja jina lake" but the beats were awesome.
Ndiyo point ninayolenga unielewe hapo.
Kumshindanisha Diamond na mwanamziki yoyote Tanzania ni ujinga, si kwa waliopo au waliokuwepo. Bahati nzuri mi ni mtu wa zamani, najua wale wa zamani na wa sasa.