Mpinzani halisi wa Alikiba ni MarLaw, sio Diamond...

Usingemtaja ili watakaomtaja uwakosoe uwaambie uzi ni wa Ali Kiba na Marlaw, nadhani waliosema umemtaja Diamond ili uzi upate mvuto wana point hapo.
Either way, bado ni kutajwa tu!
 
Diamond siyo mshindani halisi wa mwanamuziki yoyote katika Tanzania kwa sasa.
Inategemeana nani anayepiga kura za kuwachagua nani mshindi

Kwangu mimi ukimuweka diamond na dizasta, hutaamini navyokuacha mdomo wazi
 
Kuandika kitu kwa maneno machache ukaeleweka inahitaji shule na zoezi.

Mleta thread, una kazi ya kubadili approach ya andiko lako.
 
Inategemeana nani anayepiga kura za kuwachagua nani mshindi

Kwangu mimi ukimuweka diamond na dizasta, hutaamini navyokuacha mdomo wazi
Wala siwezi kubaki mdomo wazi,every vote counts lakini mwisho wa yote huwa ni kuzijumlisha na majority wins(takes it all).
 
Una mawazo mazuri lakini umeteleza kudhani muziki mzuri unatokana na lugha.

Wahindi wana nyimbo nzuri na zinatamba almost dunia nzima na watu hawaelewi hata wanachoimba. Wakongo na wale kina Despacito vile vile.

Hayo mengine ya kusema Diamond ni mkali kuliko wasanii wengine sio lengo la uzi huu.
Usilinganishe Despacito, au nyimbo za Kihindi and nyimbo za Kicongo kwani zote ni nyimbo za amsha amsha tofauti kabisa na nyimbo za Kiba/Marlaw ambazo ziko kitaarab taarabu(taarabu asilia) na hazina mvuto kwa asiyeelewa lugha. All in all kwao hawakosei kwani hawana fanbase kwenye maeneo yasiyofahamu Kiswahili, hata Madagascar tu hapo karibu na Tz nadhani hakuna anayewafahamu.
 
Ni probability tu hayo uwazayo, you were supposed to take chances. Je kama asingetajwa?
Thubutu! Umtaje Ali Kiba sehemu halafu asitajwe Diamond? I would even bet my last breath on that.

Muhimu la kuzingatia ni kwamba ametajwa Diamond kueleza kuwa yeye sio mshindani halisi wa Ali Kiba. Au ikisemwa hivi inaonekana amedharaulika?
 
Usilinganishe Despacito, au nyimbo za Kihindi and nyimbo za Kicongo kwani zote ni nyimbo za amsha amsha tofauti kabisa na nyimbo za Kiba/Marlaw ambazo ziko kitaarab taarabu(taarabu asilia) na hazina mvuto kwa asiyeelewa lugha. All in all kwao hawakosei kwani hawana fanbase kwenye maeneo yasiyofahamu Kiswahili, hata Madagascar tu hapo karibu na Tz nadhani hakuna anayewafahamu.
Mmh! Unatania siyo?

Unatakiwa ujue kuwa music itself is a language. Tena universal language ambayo inaeleweka na kila mtu kwa sababu ni lugha ya hisia tu.

Halafu sio nyimbo zote za kihindi, kitaliano, spanish, Congo zinazopendwa ni za amsha amsha we jamaa. Kalhonaho inachezeka?
 
Thubutu! Umtaje Ali Kiba sehemu halafu asitajwe Diamond? I would even bet my last breath on that.

Muhimu la kuzingatia ni kwamba ametajwa Diamond kueleza kuwa yeye sio mshindani halisi wa Ali Kiba. Au ikisemwa hivi inaonekana amedharaulika?
Sana,kwani wako levels tofauti kabisa.
 
Mmh! Unatania siyo?

Unatakiwa ujue kuwa music itself is a language. Tena universal language ambayo inaeleweka na kila mtu kwa sababu ni lugha ya hisia tu.

Halafu sio nyimbo zote za kihindi, kitaliano, spanish, Congo zinazopendwa ni za amsha amsha we jamaa. Kalhonaho inachezeka?
Kwa taarifa yako ninaongea lugha kadhaa(fluently) ambazo haziko Tz lakini ni haivutii kusikiliza wimbo ambao uko kimashairi na ni lugha nisiyoielewa.
Wimbo unaochezeka/wa amsha amsha huwa haijalishi kama lugha inaeleweka au la.
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna rafiki yangu(a Congolese) tulikuwa tunasikiliza wimbo wa Awilo Longomba akaniambia "ungekuwa unaijua hiyo lugha ungecheka sana,hakuna chochote anachoimba humo bali ni kama kelele tu za 'kibekibe kimbamba' na kurudiarudia kutaja jina lake" but the beats were awesome.
Ndiyo point ninayolenga unielewe hapo.
 
Kumshindanisha Diamond na mwanamziki yoyote Tanzania ni ujinga, si kwa waliopo au waliokuwepo. Bahati nzuri mi ni mtu wa zamani, najua wale wa zamani na wa sasa.
Ukiweka ushabiki pembeni, kuna wale wasiojua biashara ya muziki(showbiz) wanabaki kusema Diamond alikuwa zamani enzi za "nenda kamwambie" and the likes lakini hawajui dogo amebadilika kulingana na soko, internationally na local(kwa wale wa amsha amsha), muziki wa kuchezeka na ambao unaweza kumfurahisha hata asuyejua Kiswahili.
Kwa sisi tunaoishi na watu wasiojua Kiswahili hauwezi kumshawishi mtu asikilize nyimbo za kina Kiba/Marlaw ambazo wanaimba visauti kama wanaimba taarabu, hakuna mwenye uelewa wa kinachoimbwa na haiwezekani ukamshawishi apende nyimbo za aina hiyo.
Kuwashindasha Kiba na Marlaw inaweza kuwa sawa lakini kumtaja, I mean hata kumtaja tu Diamond katika wanamuziki wa level hizo ni makosa na ni kama kunakuwa na makusudi flani kwani ndiye mtu anayepaisha jina la Tz internationally katika sekta ya burudani.
Angalia fans hata maoni tu popote kwenye social media, angalia impact ya shows zake, angalia endorsements na matangazo na vyote hivi havikuja kwenye silver plate bali ni matunda ya mafanikio katika biashara ya burudani(kuimba vizuri, kujibranda vizuri, kumantain kwenye level ya juu kwa muda mrefu, kufanya kazi kwa bidii, kushikamana na timu yake bila ya majivuno kujiona yeye ndiyo kila kitu).
Hawa nyota wengine wa muziki(Bongo flavour) wangekuwa kiwango cha Diamond hata kufanya nao interview ingekuwa ni shida, kuwa humble pia kunambeba sana, kuushikilia ule Utandale kunamsaidia pia ndiyo diehard fans wake asilimia kubwa ni wale wa uswazi.
Wa kushindanishwa locally waendelee, nyota wanaopaisha jina la nchi kimataifa washindanishwe/walinganishwe na international artists.
NENO 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻💯💯💯💯💯.
 
Sasa mbona unajichanganya?

Mwanzo ulisema lugha ndiyo inawaangusha wasanii wengine, nikakuambia lugha sio ishu kabisa kwenye muziki. Muziki wenyewe ni lugha. Umeshasahau hata hoja yako.

Kimsingi, ni kweli mdundo na muziki wa amsha amsha una mashabiki wake. Lakini zipo nyimbo za slow nazo zinapendwa na watu hata wasioelewa kinachoimbwa.

Huo ndio muziki!
 
Nilipousoma huu uzi ndo nikajua kuwa Marlaw ametoa nyimbo huku kitaa sijawahi kuusikia niwe mkweli katika hili,baada ya kumaliza kusoma alichoandika haraka sana nikaenda kuupakua ni nyimbo ya kawaida wala haina maajabu.
Kumshindanisha Diamond na mwanamziki yoyote Tanzania ni ujinga, si kwa waliopo au waliokuwepo. Bahati nzuri mi ni mtu wa zamani, najua wale wa zamani na wa sasa.
Ukiweka ushabiki pembeni, kuna wale wasiojua biashara ya muziki(showbiz) wanabaki kusema Diamond alikuwa zamani enzi za "nenda kamwambie" and the likes lakini hawajui dogo amebadilika kulingana na soko, internationally na local(kwa wale wa amsha amsha), muziki wa kuchezeka na ambao unaweza kumfurahisha hata asuyejua Kiswahili.
Kwa sisi tunaoishi na watu wasiojua Kiswahili hauwezi kumshawishi mtu asikilize nyimbo za kina Kiba/Marlaw ambazo wanaimba visauti kama wanaimba taarabu, hakuna mwenye uelewa wa kinachoimbwa na haiwezekani ukamshawishi apende nyimbo za aina hiyo.
Kuwashindasha Kiba na Marlaw inaweza kuwa sawa lakini kumtaja, I mean hata kumtaja tu Diamond katika wanamuziki wa level hizo ni makosa na ni kama kunakuwa na makusudi flani kwani ndiye mtu anayepaisha jina la Tz internationally katika sekta ya burudani.
Angalia fans hata maoni tu popote kwenye social media, angalia impact ya shows zake, angalia endorsements na matangazo na vyote hivi havikuja kwenye silver plate bali ni matunda ya mafanikio katika biashara ya burudani(kuimba vizuri, kujibranda vizuri, kumantain kwenye level ya juu kwa muda mrefu, kufanya kazi kwa bidii, kushikamana na timu yake bila ya majivuno kujiona yeye ndiyo kila kitu).
Hawa nyota wengine wa muziki(Bongo flavour) wangekuwa kiwango cha Diamond hata kufanya nao interview ingekuwa ni shida, kuwa humble pia kunambeba sana, kuushikilia ule Utandale kunamsaidia pia ndiyo diehard fans wake asilimia kubwa ni wale wa uswazi.
Wa kushindanishwa locally waendelee, nyota wanaopaisha jina la nchi kimataifa washindanishwe/walinganishwe na international artists.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom