Mpira ni fedha na mali: Orodha ya clubs zilizoingiza fedha ndefu 2020/21

GSM kaweka ngapi pale Utopolo na je Yanga inajiendesha kwa faida
 
Sisi ni timu ya wananchi hatutaki na hatuitaji pesa za bure bure..
#daimaMbeleMwikoNyuma.
Utopolo isitoshe tu vile Luc alivyowambia ni uneducated/ pia mnatakiwa kupimwa akili.
Hamtaki hela za bure wakt GSM wanatoa hela za kusajili na kuiendesha Timu.
Sibomana anadai hela yake
 
Unajua jezi zinaingiza shingp
 
Jaribu kufuatilia reports ya kimahesabu ya hivi karibu, kwa taarifa yako simba haijawahi kupata hasara.
 
๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ๐Ÿธ
 
Unajua lakini kwamba MO anaweka karibibia Bilion 4 kwa msimu. Mbaka Sasa Simba Kama Klabu Haina mapato yoyote yanayo weza kuingiza bi

lion 2 kwa msimu. MO anatoa fedha mfukoni mwake kwa maana iyo Simba inaendeshwa kwa Hasara. Je! MO atavumilia kwa muda gani kupata Hasara ni Jambo la muda tu.

Hili ndiyo tatizo la Uto, asubuhi anakuwa na akili za Chura ๐Ÿธ Jioni anakuwa na akili za Nyani ๐Ÿ’.

Hapa munakaa na kujadiliana kuwa MO ni Mjanja anaingiza hela Nyingi sana kupitia Club ya Simba! Leo unasema MO anatoa 4B kila mwaka kuendesha Club ya simba na anapata hasara.

Nyani ni nyani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ