Gamaha
JF-Expert Member
- Jul 17, 2008
- 3,915
- 5,038
GSM kaweka ngapi pale Utopolo na je Yanga inajiendesha kwa faidaUnajua lakini kwamba MO anaweka karibibia Bilion 4 kwa msimu. Mbaka Sasa Simba Kama Klabu Haina mapato yoyote yanayo weza kuingiza bilion 2 kwa msimu. MO anatoa fedha mfukoni mwake kwa maana iyo Simba inaendeshwa kwa Hasara. Je! MO atavumilia kwa muda gani kupata Hasara ni Jambo la muda tu.