Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Tangu dakika ya Kwanza niliwasifu Mamelody jinsi walivyocheza na sikushangaa walipoahinda. Walijua wako ugenini na wanayecheza naye ni mkubwa. Sitaki kusema walipaki basi, Ila waliamua kukabia juu kidogo ya msitari wa pili toka kwao. Walikuwa na vijana Wenye possession nzuri ya mpira japo walikuwa wachache mbele. Kila walipopata mpira walikuwa hatari Sana Kwa mpinzani mbali ya maumbo Yao madogo.Mamelody sundowns pamoja na kupaki kwao basi dhidi ya mabingwa na magiant wa Afrika AL AHLY, pamoja na yoote haya mamelody akaibuka na point 3 dakika za lala salama [emoji1787]
Kiukweli inasikitisha sana, mbungi walilopiga Al ahly sio la bara hili, Mamelody muda mwingi alijidefend/paki basi. Poleni sana Al ahly, bado ninyi mtaendelea kuwa wakubwa.
Ball possession
AL AHLY _______________Melody
View attachment 2132675
Sasa cha ajabu hapo ni nini. Europian championship iliyoisha last june/julay Spain walikuwa na zaidi ya passes 1000+ dhidi Azzuri.
Unajua nini kilitokea.?
Sikuambiii.
Tangu dakika ya Kwanza niliwasifu Mamelody jinsi walivyocheza na sikushangaa walipoahinda. Walijua wako ugenini na wanayecheza naye ni mkubwa. Sitaki kusema walipaki basi, Ila waliamua kukabia juu kidogo ya msitari wa pili toka kwao. Walikuwa na vijana Wenye possession nzuri ya mpira japo walikuwa wachache mbele. Kila walipopata mpira walikuwa hatari Sana Kwa mpinzani mbali ya maumbo Yao madogo.
Good game plan.
Mpira ni mipango + bahati. Jana Man U kakosa goli 6 za Mtu na kipa.Lakini Al ahly kwa mbungi walilopiga na kukosa magoli mengi, walistahili kushinda hata goli 5. Haikuwa bahati kiongozi [emoji1787]
Jana Nilifurahi
Umiliki ulikuwa ngapi?Sasa cha ajabu hapo ni nini. Europian championship iliyoisha last june/julay Spain walikuwa na zaidi ya passes 1000+ dhidi Azzuri.
Unajua nini kilitokea.?
Sikuambiii.
Mamelodi miaka yote anachezaga kwa kupaki bus akiwa anacheza na timu kubwa away.
Ila Waarabu hao wakienda kwake south mamelodi anabadilika kabisa anawapigaga mpaka goli 5 .
Mpira wa africa mtu akiwa kwake mpe heshima yake.
Mamelodi anajua sana kucheza na waarabu wakali, huyo Al ahly hapatagi matokeo south africa. Akikaza sana huwa anatoa sare. Sabab south mamelodi anashambulia mwanzo mwisho na mechi ni kwenye jua
Zaidi ya 78%. Nicola Barella' Federicco Chiesa, walikuwa wanapiga counter za ajabu. Lastly tukaona kwapa za kina De Laurent, Jorginho, Chiellini na wengine.Umiliki ulikuwa ngapi?
Al Ahly ana point moja tu katika mechi tatu alizocheza
Kweli nimeonaKacheza mechi 2 tu. Hajacheza ya tatu.