Mpira ni mchezo wa ajabu sana🤣 ona hapa kilichotokea

Mpira ni mchezo wa ajabu sana🤣 ona hapa kilichotokea

Buenos Aires

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Posts
1,894
Reaction score
1,622
Mamelody sundowns pamoja na kupaki kwao basi dhidi ya mabingwa na magiant wa Afrika AL AHLY, pamoja na yoote haya mamelody akaibuka na point 3 dakika za lala salama 🤣

Kiukweli inasikitisha sana, mbungi walilopiga Al ahly sio la bara hili, Mamelody muda mwingi alijidefend/paki basi. Poleni sana Al ahly, bado ninyi mtaendelea kuwa wakubwa.

Ball possession.

AL AHLY - Melody
Screenshot_20220227-103027_FotMob.jpg
 
Mamelodi miaka yote anachezaga kwa kupaki bus akiwa anacheza na timu kubwa away.

Ila Waarabu hao wakienda kwake south mamelodi anabadilika kabisa anawapigaga mpaka goli 5 .

Mpira wa africa mtu akiwa kwake mpe heshima yake.

Mamelodi anajua sana kucheza na waarabu wakali, huyo Al ahly hapatagi matokeo south africa. Akikaza sana huwa anatoa sare. Sabab south mamelodi anashambulia mwanzo mwisho na mechi ni kwenye jua
 
Mamelody sundowns pamoja na kupaki kwao basi dhidi ya mabingwa na magiant wa Afrika AL AHLY, pamoja na yoote haya mamelody akaibuka na point 3 dakika za lala salama [emoji1787]

Kiukweli inasikitisha sana, mbungi walilopiga Al ahly sio la bara hili, Mamelody muda mwingi alijidefend/paki basi. Poleni sana Al ahly, bado ninyi mtaendelea kuwa wakubwa.

Ball possession
AL AHLY _______________Melody
View attachment 2132675
Tangu dakika ya Kwanza niliwasifu Mamelody jinsi walivyocheza na sikushangaa walipoahinda. Walijua wako ugenini na wanayecheza naye ni mkubwa. Sitaki kusema walipaki basi, Ila waliamua kukabia juu kidogo ya msitari wa pili toka kwao. Walikuwa na vijana Wenye possession nzuri ya mpira japo walikuwa wachache mbele. Kila walipopata mpira walikuwa hatari Sana Kwa mpinzani mbali ya maumbo Yao madogo.
Good game plan.
 
Sasa cha ajabu hapo ni nini. Europian championship iliyoisha last june/julay Spain walikuwa na zaidi ya passes 1000+ dhidi Azzuri.
Unajua nini kilitokea.?

Sikuambiii.

Hao sitaona maajabu sana sababu Azzuri pia sio timu ndogo, ingawa walikutana na mkubwa wao. Sasa ukija kwa mamelody wanapewa sifa nyingi mno hawana lolote muda mwingi wanapaki basi🤣 na kutegemea counter attack
 
Tangu dakika ya Kwanza niliwasifu Mamelody jinsi walivyocheza na sikushangaa walipoahinda. Walijua wako ugenini na wanayecheza naye ni mkubwa. Sitaki kusema walipaki basi, Ila waliamua kukabia juu kidogo ya msitari wa pili toka kwao. Walikuwa na vijana Wenye possession nzuri ya mpira japo walikuwa wachache mbele. Kila walipopata mpira walikuwa hatari Sana Kwa mpinzani mbali ya maumbo Yao madogo.
Good game plan.

Lakini Al ahly kwa mbungi walilopiga na kukosa magoli mengi, walistahili kushinda hata goli 5. Haikuwa bahati kiongozi 🤣
 
Mamelodi miaka yote anachezaga kwa kupaki bus akiwa anacheza na timu kubwa away.

Ila Waarabu hao wakienda kwake south mamelodi anabadilika kabisa anawapigaga mpaka goli 5 .

Mpira wa africa mtu akiwa kwake mpe heshima yake.

Mamelodi anajua sana kucheza na waarabu wakali, huyo Al ahly hapatagi matokeo south africa. Akikaza sana huwa anatoa sare. Sabab south mamelodi anashambulia mwanzo mwisho na mechi ni kwenye jua

Jua lipi unalozungumzia mkuu south África!?,kama hujawahi kufika jaribu kuuliza,rejea mwaka jana mamelodi alipigwa nje ndani na al ahly
 
Umiliki ulikuwa ngapi?
Zaidi ya 78%. Nicola Barella' Federicco Chiesa, walikuwa wanapiga counter za ajabu. Lastly tukaona kwapa za kina De Laurent, Jorginho, Chiellini na wengine.

Soka ni nidhamu pia. Fuata ulichoelekezwa na mwalimu wako. Na displine ipo italy na ujerumani.

2006 nusu fainali ya kombe la dunia pale Volkswagen Arena italy walifanya hivyo hivyo mbele ya ujerumani ya Ozil, Khedera, Balack na mastaa kibao.
Hii kwangu ndio mechi bora kabisa kushuhudia kwenye ngazi za timu za taifa.
Viccenzo Ianquitta, Fabio Grosso, Mzee Mzima Del Piero, Maestro Alessandro Pirlo, Ukuta wenye roho mbaya wa Nesta na Materrazi. Gatusso baba niishie hapo. Hiyo displine iliyoonyeshwa ni ya kiwango cha juu mno.

Acha niende kwenye ule uzi wa Russia na Ukraine.
 
Back
Top Bottom