Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

Kweli pesa sio kila kitu hapa duniani. Sasa vp kuhusu Afrika mkuu, mbona soccer imetukataa wakati tunavyo vipaji lukuki?
Soccer tunalichukulia kama by the way,hatuna dhamira ya dhati kufanya investment kwenye huu mchezo.Hiyo ndio shida yetu.
 
Soccer tunalichukulia kama by the way,hatuna dhamira ya dhati kufanya investment kwenye huu mchezo.Hiyo ndio shida yetu.
Tanzania sio kwamba tunalichukulia soccer "by the way" ila sisi hatuna pesa na vipaji ni kidogo.
 
soccer is all about ability + chance
 
Mkuu Kiranga nimeupenda Sana ufafanuzi wako.
Na vipi kuhusu muundo wa kalenda,je, kalenda ya Marekani in muundo sawia na ule wa wakoloni wao au Ni tofauti pia?
 
Mkuu Kiranga nimeupenda Sana ufafanuzi wako.
Na vipi kuhusu muundo wa kalenda,je, kalenda ya Marekani in muundo sawia na ule wa wakoloni wao au Ni tofauti pia?
Kalenda wanatumia Gregorian calendar bado, ila wanavyoandika ni tofauti na wengine kama Waingereza.

Mfano leo Kiingereza ni 12/01/2025, Kimarekani wanaanza na mwezi ni 01/12/2025.

Ilimradi wabadilishe tu wawe tofauti.
 
Sio kwenye mpira tu, bali kwenye kila jambo mafanikio yanahitaji mipango.. Marekani wana PESA ndio, Afrika tuna VIPAJI ndio, ila wenzetu Ulaya wana MIPANGO.. ukiwa na mipango utatengeneza mikakati ya kufanikiwa kulingana na mazingira uliyopo.
 
Michezo ni utamaduni, angalia nchi za kiislam zilivyo nyuma kwenye mambo ya michezo kwa sababu michezo sio sehemu ya utamaduni wao na labda kwa imani yao wanauona kama ukhafir.
 
Michezo ni utamaduni, angalia nchi za kiislam zilivyo nyuma kwenye mambo ya michezo kwa sababu michezo sio sehemu ya utamaduni wao na labda kwa imani yao wanauona kama ukhafir.
Duuh, ukafir tena kwenye soccer mkuu??..
 
Kama ni dhahabu mbona tunayo nyingi tu lakini sisi kama taifa hatuna hazina.

Kama ni mademu wakali mbona wapo wengi tu lakini hauna hata mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…