pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Tanzania hatuna vipaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soccer tunalichukulia kama by the way,hatuna dhamira ya dhati kufanya investment kwenye huu mchezo.Hiyo ndio shida yetu.Kweli pesa sio kila kitu hapa duniani. Sasa vp kuhusu Afrika mkuu, mbona soccer imetukataa wakati tunavyo vipaji lukuki?
Wewe ndio hauna kipaji ila wengine vipaji wanavyo tena ni viiingi tu.Tanzania hatuna vipaji
Tanzania sio kwamba tunalichukulia soccer "by the way" ila sisi hatuna pesa na vipaji ni kidogo.Soccer tunalichukulia kama by the way,hatuna dhamira ya dhati kufanya investment kwenye huu mchezo.Hiyo ndio shida yetu.
Rais Samia anafaa aongezewe muda mpaka 2030 kwa maana anafanya mambo makubwa sana.Tanzania sio kwamba tunalichukulia soccer "by the way" ila sisi hatuna pesa na vipaji ni kidogo.
Rais Samia anafanya kazi kubwa saaaana huyu kipenzi chetu.Hakuna Rais hapo nchi ipo ipo tu Mungu atusaidie Watanzania.
soccer is all about ability + chanceHabari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu?
View attachment 1645695
Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya Marekani imecheza fainali kadhaa za Kombe la Dunia.
Matokeo yao mazuri yalitokea wakati wa kuibuka kwao kwa mara ya kwanza kwenye Kombe la Dunia la mwaka 1930, wakati Marekani ilipomaliza katika nafasi ya tatu.
Baada ya Kombe la Dunia la mwaka 1950, ambapo Marekani iliivuruga timu ya Uingereza katika mechi ya makundi kwa ushindi wa 1-0.
Marekani haikuwepo kwenye mashindano hayo mpaka mwaka 1990. Marekani ilishiriki kila Kombe la Dunia tangu mwaka 1990 hadi mwaka 2014, lakini hawakufuzu mashindano ya 2018 kwa mara ya kwanza tangu 1986 baada ya kupoteza kwa Trinidad na Tobago.
HAYA NDIO MAFANIKIO YA KANDANDA KWA NCHI ZA AFRIKA
(1) Cameroon (1990), Senegal (2002) na Ghana (2010) ndio timu pekee kutoka katika bara la Afrika kufika hatua ya robo fainali katika michuano ya kombe la dunia la FIFA.
(2) Cameroon imecheza mechi nyingi kama team ya Afrika katika historia ya kombe la dunia. Imecheza mechi 23.
View attachment 1645697
(3) Nigeria ndio team iliyoshinda mechi nyingi katika kombe la dunia la FIFA kwa kushinda jumla ya mechi 6.
(4) Hao hao Nigeria (The Super Eagles) pia wanashikilia rekodi ya kushinda magoli mengi (Magoli 23) kwa timu za bara la Afrika.
(5) Mchezaji Abdul Rahman Fawzi ndiye aliyekuwa wa kwanza kutoka Afrika kushida katika mashindano haya ya kombe la dunia dhidi ya nchi ya Hungary mwaka 1934.
(6)Morocco ndio timu ya kwanza ya Afrika kupata "point" baada ya kutoka sare ya 1-1 katika mechi na Bulgaria mwaka 1970.
(7) Tunisia ndio nchi ya kwanza ya Afrika kushinda mechi ya kombe la dunia baada ya kuwafunga Mexico 3-1 mwaka 1978.
(8) Morocco ndio timu ya kwanza kutoka Afrika kuvuka raundi ya kwanza na kufika raundi ya 16 bora mnamo mwaka 1978.
Mpira ni nini? Pesa au vipaji? Mbona umewashinda wote matajiri (U.S.A) pamoja na masikini (Afrika)?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Na washabiki wa mpira hawapo kabisaUSA mpira wa miguu sio kipaumbele chao
Mkuu Kiranga nimeupenda Sana ufafanuzi wako.Namba moja duniani lakini si namba moja Marekani.
Sasa unalazimisha mtu awe mahiri katika mchezo asioupenda?
Unavyokwenda unaweza kuingia shughuli ya Waislamu Msikitini halafu ukawauliza kwa nini pilau lao halina nyama ya kitimoto.
Kwa sababu nyama ya kitimoto inapendwa sana duniani.
Marekani ni nchi tofauti. Wanapenda kuwa tofauti. Wana kitu wanakiita "American Exceptionalism".Wamekataa kutumia metric system mpaka leo. Si lazima wafuate mfumo unaofuatwa na dunia yote.
Dunia yote karibu wanatumia kilometers na meters, Marekani wanatumia miles na inches.
Wamarekani walitaka kupingana na wakoloni wao Waingereza.
Wakoloni wao Waingereza wanakunywa chai, Wamarekani wamekataa kunywa chai, wanakunywa kahawa.
Wakoloni wao Waingereza wanaendesha gari kushoto, Wamarekani wanaendesha kulia.
Wakoloni wao Waingereza tai zao stripes zake zinaenda upande mmoja, tai za Wamarekani stripes zinaenda upande tofauti.
Wakoloni wao Waingereza wanapenda Soccer, Wamarekani wanapenda American Football na Basketball.
Sasa usipoelewa haya mambo kihistoria unaweza kuhoji kama Wamarekani hawawezi Soccer, kumbe wenzako wamekataa mchezo wa Wakoloni wao, wameanzisha michezo yao tofauti.
Wewe usiyeweza kuanzisha michezo yako na kuifanya ipendwe na watu wako, endelea tu kuwa koloni la Muingereza kiutamaduni.
Kalenda wanatumia Gregorian calendar bado, ila wanavyoandika ni tofauti na wengine kama Waingereza.Mkuu Kiranga nimeupenda Sana ufafanuzi wako.
Na vipi kuhusu muundo wa kalenda,je, kalenda ya Marekani in muundo sawia na ule wa wakoloni wao au Ni tofauti pia?
Duuh, ukafir tena kwenye soccer mkuu??..Michezo ni utamaduni, angalia nchi za kiislam zilivyo nyuma kwenye mambo ya michezo kwa sababu michezo sio sehemu ya utamaduni wao na labda kwa imani yao wanauona kama ukhafir.
Kama ni dhahabu mbona tunayo nyingi tu lakini sisi kama taifa hatuna hazina.Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu?
View attachment 1645695
Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya Marekani imecheza fainali kadhaa za Kombe la Dunia.
Matokeo yao mazuri yalitokea wakati wa kuibuka kwao kwa mara ya kwanza kwenye Kombe la Dunia la mwaka 1930, wakati Marekani ilipomaliza katika nafasi ya tatu.
Baada ya Kombe la Dunia la mwaka 1950, ambapo Marekani iliivuruga timu ya Uingereza katika mechi ya makundi kwa ushindi wa 1-0.
Marekani haikuwepo kwenye mashindano hayo mpaka mwaka 1990. Marekani ilishiriki kila Kombe la Dunia tangu mwaka 1990 hadi mwaka 2014, lakini hawakufuzu mashindano ya 2018 kwa mara ya kwanza tangu 1986 baada ya kupoteza kwa Trinidad na Tobago.
HAYA NDIO MAFANIKIO YA KANDANDA KWA NCHI ZA AFRIKA
(1) Cameroon (1990), Senegal (2002) na Ghana (2010) ndio timu pekee kutoka katika bara la Afrika kufika hatua ya robo fainali katika michuano ya kombe la dunia la FIFA.
(2) Cameroon imecheza mechi nyingi kama team ya Afrika katika historia ya kombe la dunia. Imecheza mechi 23.
View attachment 1645697
(3) Nigeria ndio team iliyoshinda mechi nyingi katika kombe la dunia la FIFA kwa kushinda jumla ya mechi 6.
(4) Hao hao Nigeria (The Super Eagles) pia wanashikilia rekodi ya kushinda magoli mengi (Magoli 23) kwa timu za bara la Afrika.
(5) Mchezaji Abdul Rahman Fawzi ndiye aliyekuwa wa kwanza kutoka Afrika kushida katika mashindano haya ya kombe la dunia dhidi ya nchi ya Hungary mwaka 1934.
(6)Morocco ndio timu ya kwanza ya Afrika kupata "point" baada ya kutoka sare ya 1-1 katika mechi na Bulgaria mwaka 1970.
(7) Tunisia ndio nchi ya kwanza ya Afrika kushinda mechi ya kombe la dunia baada ya kuwafunga Mexico 3-1 mwaka 1978.
(8) Morocco ndio timu ya kwanza kutoka Afrika kuvuka raundi ya kwanza na kufika raundi ya 16 bora mnamo mwaka 1978.
Mpira ni nini? Pesa au vipaji? Mbona umewashinda wote matajiri (U.S.A) pamoja na masikini (Afrika)?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Kama ni makalio flat, mbona wanaume wenzako wanayo hapo ofisini kwenu SSIT ila wewe una wowowo??..Kama ni mademu wakali mbona wapo wengi tu lakini hauna hata mmoja