Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hapo sasa. Wenye pesa wameushindwa na masikini wenye vipaji pia hawauwezi. Soka ni nini?Kama ni uchawi mbona ufilipino na Nigeria hawawik
Fatilia page yoyote ya michezo ya Marekani utakuja kuungana na mimi, mimi huwa nafatilia zaidi page mbili, espn na Bleacher ReportKwa hiyo hao wachache wa huko ESPN ndio unachukulia kuwa wamarekani wote hawapendi soccer?
Kumbe wewe ni mzaliwa wa Marekani? Hongera kwa kujua kiswahili!Marekani tuna mpira wetu American Football.
Hiyo soccer kwa kiasi kikubwa wanacheza wanawake na wahamiaji huku.
![]()
United States women's national soccer team - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
The United States women's national soccer team represents the United States in international women's soccer. The team is the most successful in international women's soccer, winning four Women's World Cup titles, four Olympic gold medals, and eight CONCACAF Gold Cups.
Ni kweli wako katika dunia yao, yasiyoihusu dunia yao hawayajui.Halafu wamarekani mpira wa miguu wanaita 'soccer' ni kama jina la kejeli, mchezo wao ule wa kijinga unaofanana na Rugby ndo wanauita football 'American Football', yaani wale watu ni kama wanaishi kwenye dunia yao[emoji23][emoji23]. Kuna siku niliona Will Smith amepost kwenye page yake jinsi alivyokutana na Neymar na akamtag, chini kwenye comment section kulijaa maswali 'who is that?'[emoji13][emoji13], wengi wakawa wanashangaa mtu gani huyu mbona ana followers wengi sana halafu hawamjui[emoji1787][emoji1787]
Sawa boss...Mpira ni kuupa kipaumbele....halafu pesa inafuatia...baada ya kuupenda lazima uwekezaji ufanyike...kuhusu vipaji siamini sana kwenye hilo...Timu yenye msingi mzuri ni rahisi kufanya vizuri kuliko timu yenye vipaji vikubwa ikiwa na msingi mbovu.
Sasa unataka kumfananisha Messi na mchezaji gani hapa Afrika?Mkuu, mbona Messi niliwahi kuona clip yake moja alipiga chenga kuanzia katikati ya uwanja mabeki wote hadi kipa golini?...
Hahahahaaa, mkuu hakika Messi hana wa kufanana naye hapa AfrikaSasa unataka kumfananisha Messi na mchezaji gani hapa Afrika?
Logical non sequitur.Kumbe wewe ni mzaliwa wa Marekani? Hongera kwa kujua kiswahili!
Ni mchezo namba Moja duniani na hata Tanzania na Uingereza, lakini sio mchezo namba Moja US. Yaani hata namba mbili na tatu huo mchezo haupo sasa watashindanaje na nchi ambazo huo mchezo kwa ni kipaumbele namba 1.Mkuu, nimehoji kuhusiana na soka kwa sababu ndio mchezo number moja duniani. Kwa hiyo hata kama Marekani hawaupendi hiyo haiondoi ukweli kwa kandanda ndio mchezo wenye mashabiki wote kuzidi hizo baseball na american football...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]analeta shombo kabisaAcha kuleta shombo hapa.
Mkuu, soccer liliwashindwa wanaume wa Marekani ndio maana wakaamua kuanzisha michezo yao wenyewe?...Ni mchezo namba Moja duniani na hata Tanzania na Uingereza, lakini sio mchezo namba Moja US.
Kama unaniona ninalazimisha mambo, it's okay wewe na mawazo yako.Mleta mada analazimisha Mambo ukichagiza na mahaba yake kwenye soccer .
Sio liliwashinda bali hawalipendi, Ni kama vile watu wa Mwanza na Arusha tusivyopenda taarab lakini tunapenda hip hop, kwa hiyo ni vigumu kupata wasanii wazuri wa taarab na singeli kutoka Mwanza sababu Wana Mwanza hatupendi mziki huo, lakini kwa dar ni rahisi.Mkuu, soccer liliwashindwa wanaume wa Marekani ndio maana wakaamua kuanzisha michezo yao wenyewe?...
Kama hawapendi soccer mbona bado wanachama wa FIFA mkuu? Burundi hawakuipenda ICC wakajitoa. Wao USA bado wanafanya nini FIFA?...USA mpira ni mchezo wa wanawake ndo maana USWNT inashinda kombe la dunia la wanawake kila michuano.
Michezo mingine ambayo USA wanaipenda basi wanashinda.