mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Kombe la loser alielipa jina Hilo ni Manara sio Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wa usajili, Simba wako busy kununua mabasi na kupandisha mabegi milimani, mechi zikianza, marefa ndio wanabebeshwa jukumu la kuibeba Simba.Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano wakaishia robo fainali!
Wakatoka hapo wakaamia klabu bingwa wakabwata Tena oooh yanga atoboi kwenye hii ligi ya wanaume uku akuna kina malumo Wala Rivers united, Aya wamepangiwa magiant wawili waarabu wagumu mabingwa wa Misri, mabingwa wa Algeria, na mabingwa wa Ghana, katika kundi ilo katoboa, katoa SARE mbili, kashinda 2, na kafungwa 1 mpaka Sasa kafuzu robo fainali akiwa na mechi moja mkononi!
Kafuzu kwa mpira mkubwa na WA kitabuni na sio wa kubahatisha na kushikilia roho, kaubonda mwingi sana!
Sasa siwezi Kuona ajabu wakitinga nusu fainali ya klabu bingwa na kuandika historia ya kipekee kwakuwa uwezo wanao, Nia wanayo na kikosi Bora wanacho Cha kufanya hivyo na sio unga unga mwana Kama wazee wa propaganda!
Watu walikuwa wanajiandaa na mechi ya Belouzdad wengine walikuwa wamebaki kujadili bleach za wakina pacome, wakasahau walikuwa na mechi kule Ivory coast!
Ubora wa kikosi cha yanga utaendelea KUWAZIBA MIDOMO wengi awaendi kwa kubahatisha Bali kwa mipango mathubuti ya usajili Bora na uongozi imara!
Kongole sana Eng.Hersi, kongole kamati tendaji, kongole mashabiki na wanachama wa yanga kwa kuwa na mshikamano ulioleta matunda na Sasa ni "OPERATION NUSU FAINALI INAWEZEKANA"
Nyinyi dar es Salam young African mlikuwa wapi ilikuwa ndio nafasi yenu kuwa mabingwa wa Caf champions league au mlizuia kushiriki kweli ukiwa yanga akili zinahama.Wakati anamfunga aly ahly kipindi Cha korona lock down ikiwa imetawala Kila sehemu ndio unatuletea hapa, Kama una timu kweli ongoza kundi Sasa hivi tuone, umewekwa kundi dhaifu na bado unasuasua unatoa droo ata na jwaneng[emoji848][emoji848][emoji848]
Kimekushinda nini kuongoza kundi sasa hiviWakati simba anamfunga al ahly na anaongoza kundi ulikuwa unatoa kamasi itakuwa.
Wapo kundi dhaifu sana imagine timu ina points 4 bado inauwezo wa kufuzu wakati kundi letu CRB imepata points 8 imeshindwa kutoboaWakati anamfunga aly ahly kipindi Cha korona lock down ikiwa imetawala Kila sehemu ndio unatuletea hapa, Kama una timu kweli ongoza kundi Sasa hivi tuone, umewekwa kundi dhaifu na bado unasuasua unatoa droo ata na jwaneng[emoji848][emoji848][emoji848]
Kolo msije kuchafua uzi hapa😎Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano wakaishia robo fainali!
Wakatoka hapo wakaamia klabu bingwa wakabwata Tena oooh yanga atoboi kwenye hii ligi ya wanaume uku akuna kina malumo Wala Rivers united, Aya wamepangiwa magiant wawili waarabu wagumu mabingwa wa Misri, mabingwa wa Algeria, na mabingwa wa Ghana, katika kundi ilo katoboa, katoa SARE mbili, kashinda 2, na kafungwa 1 mpaka Sasa kafuzu robo fainali akiwa na mechi moja mkononi!
Kafuzu kwa mpira mkubwa na WA kitabuni na sio wa kubahatisha na kushikilia roho, kaubonda mwingi sana!
Sasa siwezi Kuona ajabu wakitinga nusu fainali ya klabu bingwa na kuandika historia ya kipekee kwakuwa uwezo wanao, Nia wanayo na kikosi Bora wanacho Cha kufanya hivyo na sio unga unga mwana Kama wazee wa propaganda!
Watu walikuwa wanajiandaa na mechi ya Belouzdad wengine walikuwa wamebaki kujadili bleach za wakina pacome, wakasahau walikuwa na mechi kule Ivory coast!
Ubora wa kikosi cha yanga utaendelea KUWAZIBA MIDOMO wengi awaendi kwa kubahatisha Bali kwa mipango mathubuti ya usajili Bora na uongozi imara!
Kongole sana Eng.Hersi, kongole kamati tendaji, kongole mashabiki na wanachama wa yanga kwa kuwa na mshikamano ulioleta matunda na Sasa ni "OPERATION NUSU FAINALI INAWEZEKANA"
Yanga hakuna kuweka mpira kwapakaUsisahau yanga hatuna malalamiko mechi za ligi tunazicheza hakuna kusogeza mechi mbele kwa kisingizio cha caf.
Imagine yanga jumatano tumetoka kucheza mechi ya ligi kuu ya Tanzania.
Same week tumecheza mechi mbili kubwa kwa gap la siku tatu tu