Mpira ni uwekezaji na sio propaganda, Yanga endeleeni kuwaziba midomo wanafiki, mnawajibu kwa vitendo hongereni!

Wakati wa usajili, Simba wako busy kununua mabasi na kupandisha mabegi milimani, mechi zikianza, marefa ndio wanabebeshwa jukumu la kuibeba Simba.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi dar es Salam young African mlikuwa wapi ilikuwa ndio nafasi yenu kuwa mabingwa wa Caf champions league au mlizuia kushiriki kweli ukiwa yanga akili zinahama.
 
Wapo kundi dhaifu sana imagine timu ina points 4 bado inauwezo wa kufuzu wakati kundi letu CRB imepata points 8 imeshindwa kutoboa
 
Kolo msije kuchafua uzi hapa😎
 
Usisahau yanga hatuna malalamiko mechi za ligi tunazicheza hakuna kusogeza mechi mbele kwa kisingizio cha caf.

Imagine yanga jumatano tumetoka kucheza mechi ya ligi kuu ya Tanzania.

Same week tumecheza mechi mbili kubwa kwa gap la siku tatu tu
Yanga hakuna kuweka mpira kwapaka
 
Mtoto mdogo akijua kusoma na kuandika ni shida ndani ya Nyumba, ataandika ukutani, madirisha, kwenye Magodoro mpaka kwenye mito.
Simba imefikia robo fainali mara nne hakuna kiongozi kuzimia uwanjani Wala kuandika mabango barabarani au kufanya sherehe ya kunywa Supu ya vibudu.
Kuna msemo wa kiswahili usemao "Maskini alipata matako Julia mbwata" Hao Ndio Yanga sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…