Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Dak 83 Yanga Bado wapo mbele 2-1
 
Mbona mnatuapdeti muda tyu au mshaanza elemewaaa??
[emoji28] [emoji28]
 
hah hah unanichekesha sana mkuu, ndio maana ya kuwepo kwa sheria na kanuni zinazosimamia soka hapa nchini! Sheria zimewekwa ili zifuatwe aisee...mbona nyie hamjawaomba radhi watanzania kwa kuiangusha Tanzania viwango Caf ngazi ya club, kila mwaka ni aibu tu duh, hebu tupisheni na sisi tuwaoneshe mpira unavyochezwa ngazi ya kimataifa, chura ni chura tu hah hah
kama tunatia aibu ujue mngeenda nyie ndo mngetia aibu zaidi sie tunashirik sababu hakuna kama sisi kiubora tanzania
nyie wenyewe mara mwisho kushiriki mlipigwa 5-1 na el hadood
 
Dak 85 Bado Yanga wako kifua mbele
 
Kabahatisha tu huyo hahaha
msuva_1.jpg
 
Back
Top Bottom