Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😵Mkuu kunywa maji hapo ulipo,nahisi umesimama kabisa maana kiti ni cha moto.
Sio kwa mpira huu wa Yanga hahaha
[emoji4] [emoji4]Kabahatisha tu huyo hahaha
Acha bhange wewe88 dk..Kagera wanapata bao la kusawazisha...now n 2 kwa 2..
Acha uchawi wew88 dk..Kagera wanapata bao la kusawazisha...now n 2 kwa 2..
UshindweKagera watasawazisha
Hii ndio yanga...taifa kubwaNimekupendaje sasa? Yanga tunajua raha tu,maumivu yapo matopeni huko [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaaa sikuwezi idawa [emoji119]Kutoka wapi.?
kama tunatia aibu ujue mngeenda nyie ndo mngetia aibu zaidi sie tunashirik sababu hakuna kama sisi kiubora tanzaniahah hah unanichekesha sana mkuu, ndio maana ya kuwepo kwa sheria na kanuni zinazosimamia soka hapa nchini! Sheria zimewekwa ili zifuatwe aisee...mbona nyie hamjawaomba radhi watanzania kwa kuiangusha Tanzania viwango Caf ngazi ya club, kila mwaka ni aibu tu duh, hebu tupisheni na sisi tuwaoneshe mpira unavyochezwa ngazi ya kimataifa, chura ni chura tu hah hah
Utakuwa mchawi weweKagera wanaamka sasa tokea kipindi cha pili kilipoanza.
Muda wote mpira ulikuwa unachezwa golini mwa Kagera pekee.
Mbona mnatuapdeti muda tyu au mshaanza elemewaaa??
[emoji28] [emoji28]
Kabisa na siku zote soka kwetu linachezwa uwanjaniHii ndio yanga...taifa kubwa
Kabahatisha tu huyo hahaha
HahahaLabda saa tatu Usiku kwenye Clouds.!