Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Mnapishwaje kwa mfano sasa? Kama ya ndani yanawashinda, nje mtaweza nyie? Fanyeni vizuri ya ndani, mshinde kwa halali, muende kutuwakilisha michuano ya kimataifa.

Na msingoje huruma hapa, hata mbao wanaweza fanya yao
hata tukipoteza na mbao bado yuyakuwa mabingwa kwa kuwa magoli yetu ni mengi kuliko ya simba .
 
IMG_2568.jpg
 
ntamaholo Mbao tunambeba tunakimbia naye hah hah ushindi asubuhi kabisa, halafu nikuweke wazi tu kwamba, usifikiri Caf au Fifa huwa wanapindisha mambo, kama ipo ipo tu, let's just wait and watch' Simba tumeamuaaaa...liwake jua inyeshe mvua ubingwa lazima...
Mkuu, nawatakia kila la heri
 
Yaani vyura! Hivi kwa viini macho vilivyokuwa vikifanyika uwanjani munafurahi! Hapakuwa na mechi pale.Na mtaendelea kushika mkia kimataifa maana TFF ya Malinzi ndio pumzi yenu. Hakika nawaambia Yanga haitakaa ifanye lolote kwenye uwakilishi wake kimataifa kwa figisu hizi.
 
Wewe ni wa kupuuzwa kama Kagera alivyowapuuza
 
Huyu Haruna Niyonzima angekuwa mbele huko angefika mbali sana.
Huyu jamaa anacheza hadi najisikia vibaya kwa yeye kuchezea ligi ya VPL.

Akili na anavyoweza kumiliki mpira...namuona Legend Zinedine Zidane katikati ya miguu ya Niyonzima [emoji119]
Mwanangu umerithi kila kitu kwa baba yako..Kwa kuchagua yaliyo mema, Yanga na Arsenal..

Sijajua kuhusu Real Madrid na Juventus..

Najivunia kwa hilo..

Yanga Afrika, Umoja wa Mataifa...Sisi ni daima mbele, kurudi nyuma mwiko...

Daddy loves you saaana...

Bala.
 
Yaani vyura! Hivi kwa viini macho vilivyokuwa vikifanyika uwanjani munafurahi! Hapakuwa na mechi pale.Na mtaendelea kushika mkia kimataifa maana TFF ya Malinzi ndio pumzi yenu. Hakika nawaambia Yanga haitakaa ifanye lolote kwenye uwakilishi wake kimataifa kwa figisu hizi.
Na simba ndio mnaweza sana kimataifa?
Si mliishia Angola kwa Libolo?
 
Mwanangu umerithi kila kitu kwa baba yako..Kwa kuchagua yaliyo mema, Yanga na Arsenal..

Sijajua kuhusu Real Madrid na Juventus..

Najivunia kwa hilo..

Yanga Afrika, Umoja wa Mataifa...Sisi ni daima mbele, kurudi nyuma mwiko...

Daddy loves you saaana...

Bala.

Na nimerithi akili pia...lol

Mimi ni Real Madrid baba,nitasikitika sana nikisikia uko upande wa pili wa kibibi kizee cha Turin.

Daughter loves you more Dady

Forever Young Africans S.C,COYG.
 
Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Yaani leo nilikuwa na shabiki wa simba baada ya Kagera kusawazisha kashangilia mpaka akajikwaa kama maskhara vile ikabidi mpira tena hauangaliziki safari ya hospital kapata matibabu akatulia kidogo ila mpira ulivyo isha na kupata matokeo kazidi kuumwa.
 
Back
Top Bottom