Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaha.Sio mezan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.Sio mezan
hata tukipoteza na mbao bado yuyakuwa mabingwa kwa kuwa magoli yetu ni mengi kuliko ya simba .Mnapishwaje kwa mfano sasa? Kama ya ndani yanawashinda, nje mtaweza nyie? Fanyeni vizuri ya ndani, mshinde kwa halali, muende kutuwakilisha michuano ya kimataifa.
Na msingoje huruma hapa, hata mbao wanaweza fanya yao
Ahsante. Hii ndio yanga sasaaNa mpiraaaaaaa umekwishaaaa.
Yanga moja kwa moja kileleni mwa ligi kuu.
Leo Yanga wamecheza mpira mzuri haijapata kutokea.
Hongereni Wanayanga Wote,anzeni kushona suti za kusherehekea ushindi hahaha.
Daima Mbele,daima ushindi.
Cheers [emoji485]
Mkuu. Mbona sijakuona pande hizi hadi dk 90 zimeisha.hata tukipoteza na mbao bado yuyakuwa mabingwa kwa kuwa magoli yetu ni mengi kuliko ya simba .
Kana kwamba mmesahau mliwahi pata ubingwa kwa njia hii duh, Ynga bhanaSasa ndugu yangu ubingwa wa kuombaomba nao ni ubingwa? Ubingwa upatie uwanjani.
Mkuu, nawatakia kila la herintamaholo Mbao tunambeba tunakimbia naye hah hah ushindi asubuhi kabisa, halafu nikuweke wazi tu kwamba, usifikiri Caf au Fifa huwa wanapindisha mambo, kama ipo ipo tu, let's just wait and watch' Simba tumeamuaaaa...liwake jua inyeshe mvua ubingwa lazima...
Na hapo bado mechi moja kibindoni. Duuh
Wewe ni wa kupuuzwa kama Kagera alivyowapuuzaYaani vyura! Hivi kwa viini macho vilivyokuwa vikifanyika uwanjani munafurahi! Hapakuwa na mechi pale.Na mtaendelea kushika mkia kimataifa maana TFF ya Malinzi ndio pumzi yenu. Hakika nawaambia Yanga haitakaa ifanye lolote kwenye uwakilishi wake kimataifa kwa figisu hizi.
Mwanangu umerithi kila kitu kwa baba yako..Kwa kuchagua yaliyo mema, Yanga na Arsenal..Huyu Haruna Niyonzima angekuwa mbele huko angefika mbali sana.
Huyu jamaa anacheza hadi najisikia vibaya kwa yeye kuchezea ligi ya VPL.
Akili na anavyoweza kumiliki mpira...namuona Legend Zinedine Zidane katikati ya miguu ya Niyonzima [emoji119]
Na simba ndio mnaweza sana kimataifa?Yaani vyura! Hivi kwa viini macho vilivyokuwa vikifanyika uwanjani munafurahi! Hapakuwa na mechi pale.Na mtaendelea kushika mkia kimataifa maana TFF ya Malinzi ndio pumzi yenu. Hakika nawaambia Yanga haitakaa ifanye lolote kwenye uwakilishi wake kimataifa kwa figisu hizi.
Mwanangu umerithi kila kitu kwa baba yako..Kwa kuchagua yaliyo mema, Yanga na Arsenal..
Sijajua kuhusu Real Madrid na Juventus..
Najivunia kwa hilo..
Yanga Afrika, Umoja wa Mataifa...Sisi ni daima mbele, kurudi nyuma mwiko...
Daddy loves you saaana...
Bala.
Mwanangu umerithi kila kitu kwa baba yako..Kwa kuchagua yaliyo mema, Yanga na Arsenal..
Sijajua kuhusu Real Madrid na Juventus..
Najivunia kwa hilo..
Yanga Afrika, Umoja wa Mataifa...Sisi ni daima mbele, kurudi nyuma mwiko...
Daddy loves you saaana...
Bala.
Na nimerithi akili pia...lol
Mimi ni Real Madrid baba,nitasikitika sana nikisikia uko upande wa pili wa kibibi kizee cha Turin.
Daughter loves you more Dady
Forever Young Africans S.C,COYG.