spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Ungeingia wewe udake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiko wapi sasa..? Hao mmepigwaaaUmeumia sana Mkuu, next ni vs Azam. Mpaka ligi ikiisha utakuwa umesema
Nani ana akili mpaka sasa..?Una uhakika unazo akili?🤔
Nyie ndo mbumbumbuUnadhihirisha usemi wa Haji Manara.
Kukaa kimya nako ni sehemu ya busara.
Kiko wapi sasa..?Hayo magoli yote mawili kulikuwa na 'Deflection' ya mpira. Usiwe kama una minyoo ubongoni.
Haya bhn, ukweli uzuri hauwezi kufichika,hahaMuda mwingine muwe mnaficha aibu ndogo ndogo sio mpk muandike nyuzi za kiutopolo...nyie mkifunga tano huwa mnakua ktk hali gani? Hizo timu huwa mnazipa hongo? Achana na ya Simba mliyologa mpk majani...hizi za juzi naongelea za timu ndogo