Mpira unapogeuka mchezo wa maigizo

Mpira unapogeuka mchezo wa maigizo

Maigizo mliyofanya na Tabora leo mmeumbuka, Freddy hakuna lolote anaweza kufanya angalau Jobe karuka ruka kaonekana ila sio Freddy.
 
Mastraika wapya mambo magumu bila timu pinzani kupewa maelekezo maalumu.
 
Niliongea kuhusu maigizo yaliyofanyika kwenye mechi ya Tabora vs Simba nikatupiwa mawe. Ila sasa labda kadri muda unasonga ndipo akili labda inaweza kukaa sawa. Freddy alipewa goli na kipa wa Tabora united ila hamna kitu ni garasa haswa.
 
Muda mwingine muwe mnaficha aibu ndogo ndogo sio mpk muandike nyuzi za kiutopolo...nyie mkifunga tano huwa mnakua ktk hali gani? Hizo timu huwa mnazipa hongo? Achana na ya Simba mliyologa mpk majani...hizi za juzi naongelea za timu ndogo
Haya bhn, ukweli uzuri hauwezi kufichika,haha
 
Back
Top Bottom