kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mpira wa bongo umejaa wahuni ndio maana vilabu vinaongozwa na vibaka tu, wenye uwezo wa kununua suti na kupata sapoti ya watu wenye pesa kuongoza hivyo vilabu.
Juzi kati Simba watu wamebadishana uongozi kama vile wachezaji wanabadishana jezi au mbio za vijiti, hapo akitokea mtu mwenye kichaa akienda mahakamani kwa viongozi kutokufuata katiba na kuvunja kanuni.mahakama inampa ushindi kichaa.
Kibaka mmoja akishachaguliwa na klabu huteuwa vibaka wenzie wa kumlinda madarakani sio wale wenye klabu yao hapana, mfano Eng Hersi sijui kama ana washauri wazuri ni mambo yale yale badala ya kukaa chini akatafakuri hili jambo limetokea wapi .
Tunaona kila kibaka na muhuni anatoa tamko lisilo na mashiko wote wanamzodoa Magoma kwenye vyombo vya habari badala ya kuijibu mahakama kwa makaratasi, kila muhuni anajibu kivyake vibaka wanajibu barua ya mahakama kishabiki.
Msemaji kibaka anajibu pumba mwanasheria kibaka anajibu kihuni bila kufuata sheria mwisho wa siku waandishi vibaka wamekuwa wapotoshaji kuisemea klabu badala ya kumshauri kiongozi atulie afuatilie sakata liliopoanzia na kulimaliza!
Tufikie mahali vilabu visiendeshwe na wahuni kuepuka haya yanayotokea kisa wanachama na mashabiki ni njaa kali wanafikiri tajiri hawezi kushitakiwa.
N:B Magoma ni mtanzania shabiki na mwanachama yanga anayo haki ya kufungua kesi mahakama yeyote nchini tanzania na akasikilizwa kama mambo hayaendi sawa!