Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wahuni, lililotokea Yanga Magoma yupo sahihi!

Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wahuni, lililotokea Yanga Magoma yupo sahihi!

FB_IMG_1721242889884.jpg
 
Akirusha hilo kombora hata humu JF kutakuwa ni vilio vitupu maana jana kapewa kila aina ya tusi. Yanga itashuka hadi ligi daraja la 3, ikacheze na Bom Bom FC.

Wewe watu kariakoo tuwachie sisi tuliozaliwa Kariakoo, hana lolote yule zaidi ya kujimwambafai tu. Panya buku nyumbani kwake kashindwa kuwamaliza.
 
Uwazi Gani zaidi ya kusema kapata hasara billion 1?
Ila bado ana sajili na mishahara analipa.ila anakwambia amepata hasara.ana moyo wa kipekee sana gsm
Ungekua na akili ningekuelewasha ila hio ID yako naweza poteza muda wangu bure ila kifupi muulize Mo kwanini anapata hasara 5imba na haiachii
 
Ungekua na akili ningekuelewasha ila hio ID yako naweza poteza muda wangu bure ila kifupi muulize Mo kwanini anapata hasara 5imba na haiachii
Anza na GSM kwanza ambaye ndo malaika wako kwanini anapata hasara na bado king'ang'anizi
 
Back
Top Bottom