Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahhahaMngemtumia huyo Mzee awasaidie kumtoa Mangungu
Timu ina wasemaji kila mtaa..yani huyo nae anatoa tamko lake kama nani..na Ally Kamwe nae afanye nini...Cha kushangaza kila taasisi ina utaratibu na msemaji wake baada ya vikao lakini vijiwe vya wahuni kila mmoja ni msemaji sasa haji anahusikaje na ni nani ndio vibaka wenyewe hao!
Hatari sanamagoma hataki mchezo....
Kuna privaldinho!Timu ina wasemaji kila mtaa..yani huyo nae anatoa tamko lake kama nani..na Ally Kamwe nae afanye nini...
Hafuatani na timu hakai mlangoni tenda !a kutafuta maji maiti hapewi naye ni muhuni tangu enzi za uongozi wa George mpondela castro anajua klabu nje ndani!magoma hataki mchezo....
Kinahusikaje na wahuni!Siasa za chama chenu zimeharibu mpira
Msikilize manaraKinahusikaje na wahuni!
Wahuni wamekamatwa na wahuni wenzao mpaka barua ya hukumu imefika timu haina anuani zote ni email za mtu binafsi!Huu Uzi pia umekaa kihuni huni tu,mwandishi acha uhuni!
JF sikuhizi imejaa wahuni tu
Manara ni debe tupu!Msikilize manara
hapo ndipo 'the late manji' aliiweza yanga fc kwa kufanya inclusion ya wazee na gen z ya wakati ule.Hafuatani na timu hakai mlangoni tenda !a kutafuta maji maiti hapewi naye ni muhuni tangu enzi za uongozi wa George mpondela castro anajua klabu nje ndani!
Manara ana penda jazba na fujo sana,ni mtu wa ugomvi,hana busara kabisaManara eti anamtishia huyo mzee...😃😃😃hivi Manara anajikuta nani pale Yanga..eti mm nimezaliwa Yanga..familia yangu imefanya makubwa kuliko familia zingine pale Yanga..yani huyo baba yake kucheza Yanga ndo kumfanye avimbe kuwa Yanga ni yake..wakati yupo Simba aliwadharau Yanga na kuwaita hawana akili na kusema yy akichanjwa damu yake ni Simba tupu...eti mtoto wa mjini sema watu wana mstahi tu kwa ule ulemavu wake..aache kubwabwaja...kina GSM kina Hersi wamenyamaza wamemuacha huyo mzee na ishu zake ila eti yeye huyo mzungu pori ndo kujiona mwamba...
muombe sana Mungu akuzidishie akili hapo ulipo sipoMpira wa bongo umejaa wahuni ndio maana vilabu vinaongozwa na vibaka tu, wenye uwezo wa kununua suti na kupata sapoti ya watu wenye pesa kuongoza hivyo vilabu.
Juzi kati Simba watu wamebadishana uongozi kama vile wachezaji wanabadishana jezi au mbio za vijiti, hapo akitokea mtu mwenye kichaa akienda mahakamani kwa viongozi kutokufuata katiba na kuvunja kanuni.mahakama inampa ushindi kichaa.
Kibaka mmoja akishachaguliwa na klabu huteuwa vibaka wenzie wa kumlinda madarakani sio wale wenye klabu yao hapana, mfano Eng Hersi sijui kama ana washauri wazuri ni mambo yale yale badala ya kukaa chini akatafakuri hili jambo limetokea wapi .
Tunaona kila kibaka na muhuni anatoa tamko lisilo na mashiko wote wanamzodoa Magoma kwenye vyombo vya habari badala ya kuijibu mahakama kwa makaratasi, kila muhuni anajibu kivyake vibaka wanajibu barua ya mahakama kishabiki.
Msemaji kibaka anajibu pumba mwanasheria kibaka anajibu kihuni bila kufuata sheria mwisho wa siku waandishi vibaka wamekuwa wapotoshaji kuisemea klabu badala ya kumshauri kiongozi atulie afuatilie sakata liliopoanzia na kulimaliza!
Tufikie mahali vilabu visiendeshwe na wahuni kuepuka haya yanayotokea kisa wanachama na mashabiki ni njaa kali wanafikiri tajiri hawezi kushitakiwa.
N:B Magoma ni mtanzania shabiki na mwanachama yanga anayo haki ya kufungua kesi mahakama yeyote nchini tanzania na akasikilizwa kama mambo hayaendi sawa!
Wanasubiri kupewa supu ya ng'ombe wa kafara na chapati!Watakwambia wao Wana jali matokeo tu.
Kuna mwanachama yeyote anayejua club ya yanga Ina kiasi Gani bank?
Ana shida ya kisaikolojia sio bure...na wanao muunga mkono na kumpa kichwa ni wale ambao pia hawajiamini na wamejikatia tamaa...wanaona wanapata faraja kupitia mdomo mchafu wa huyo mtu..Manara ana penda jazba na fujo sana,ni mtu wa ugomvi,hana busara kabisa
Akirusha hilo kombora hata humu JF kutakuwa ni vilio vitupu maana jana kapewa kila aina ya tusi. Yanga itashuka hadi ligi daraja la 3, ikacheze na Bom Bom FC.Siifahamu, maneno ya kichawi hayo.
Labda alimaanisha "kulu juan", linamaanisha "wote njaa ". Wazee wa zamani walikuwa wana msemo wa "muombee adui yako njaa".
Huyo poyoyo kalisikia tu hilo neno kwenye vijiwe vya kahawa wala hajuwi linaaminisha nini na hata kulitamka hajuwi.
Nothing will change.Mpira wa bongo umejaa wahuni ndio maana vilabu vinaongozwa na vibaka tu, wenye uwezo wa kununua suti na kupata sapoti ya watu wenye pesa kuongoza hivyo vilabu.