Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wahuni, lililotokea Yanga Magoma yupo sahihi!

Cha kushangaza kila taasisi ina utaratibu na msemaji wake baada ya vikao lakini vijiwe vya wahuni kila mmoja ni msemaji sasa haji anahusikaje na ni nani ndio vibaka wenyewe hao!
Timu ina wasemaji kila mtaa..yani huyo nae anatoa tamko lake kama nani..na Ally Kamwe nae afanye nini...
 
Huu Uzi pia umekaa kihuni huni tu,mwandishi acha uhuni!

JF sikuhizi imejaa wahuni tu
Wahuni wamekamatwa na wahuni wenzao mpaka barua ya hukumu imefika timu haina anuani zote ni email za mtu binafsi!
 
Manara ana penda jazba na fujo sana,ni mtu wa ugomvi,hana busara kabisa
 
muombe sana Mungu akuzidishie akili hapo ulipo sipo
 
Manara ana penda jazba na fujo sana,ni mtu wa ugomvi,hana busara kabisa
Ana shida ya kisaikolojia sio bure...na wanao muunga mkono na kumpa kichwa ni wale ambao pia hawajiamini na wamejikatia tamaa...wanaona wanapata faraja kupitia mdomo mchafu wa huyo mtu..
 
Akirusha hilo kombora hata humu JF kutakuwa ni vilio vitupu maana jana kapewa kila aina ya tusi. Yanga itashuka hadi ligi daraja la 3, ikacheze na Bom Bom FC.
 
Nothing will change.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…