chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Tusipo tengeneza mpira mzuri hapa tanzania basi hakuta kuwa na utofauti ya kuwapa kipaumbele kama wasanii wawili wanao shindanishwa kwa maslahi binafsi.
Mpira wetu wa hapa bongo kwenye vilabu umewekezwa sana kwenye simba na yanga na si vingine.
Na kila mchezaji yoyote utaka kuingia kwenye hivo vilabu viwili.
Kama mpira wa Europe na wingereza ungekuwa kwa mtindo huu sijui hata ile timu aliyochezea samata tungeijua.
Ukiangalia Tanzania zima mashibiki ni simba na yanga na inakera sana.
Wawekezaji wanazing'ang'ania hizi timu hata siku zikikutana au kucheza mapato na promo nyingi.
Ndio maana mchezaji akitoka simba au yanga kwisha habari yake kwenye vilabu vingine.
Kwanini tusijikite kuvipigania vilabu vyote ili kesho ukisikia simba au yanga wanakutana ni jambo la kawaida kama zikikutana vilabu vingine.
Haya yanasababishwa na nini?
Wadau wa michezo