Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

Drogba hana kipaji?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we jamaa kichwa chako ni kibovu au ukute humjui drogba unamjua Nicolas Jackson.
Huyu kijana kuna uzi mmoja alisema eti bacca wa yanga ni beki mbovu.

Tumsamehe tu hajui alitendalo
 
Drogba hana kipaji?? [emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa kichwa chako ni kibovu au ukute humjui drogba unamjua Nicolas Jackson.
Leta clip DROGBA akipiga chenga mabeki wawili[emoji16]
 
Huyu kijana kuna uzi mmoja alisema eti bacca wa yanga ni beki mbovu.

Tumsamehe tu hajui alitendalo
We hujui mpira alafu pili hujui kusoma.
Kuna tofauti kati ya jina Bacca na Boka, nadhani uzi ulikuwa unamhusu Boka, kutokana na mihemko yako iliyozidi maarifa unajikuta unachanganya madesse πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Soma kwa makini kuwa na uhakika na unachokisema ili usiaibike kwenye kadamnasi usiendelee kuwa kilaza mkuu.

Najua akili unazo ila hutaki kuzitumia tu.
 
Kama Sergio Ramos alivyomfanyia Mo Salah kwenye Ile final ya UEFA au sio.
 
We umehadithiwa story za drogba humjui drogba wewe.
Uliemuona leta clip zake akifanya maajabu ndugu mtu aliyekuwa talented na Mpira ni ETOO drogba hakuna kitu
 
Bacca hajui kupiga bass na hana control ni NINJA alie kwenye form tu
 
Makocha ulaya kama gurdiola kiukweli anaharibu sana radha ya soka kwa mpira wake wa pasi na kutaka wachezaji wacheze kwa maelekezo yake tu kamamisukule na hii makocha wengi wameiga tunaona magoli tu bila radha ya mpira mm sasa hv hata champions league naangalia fainali tu
 
Wewe unasumbuliwa na ugumu wa maisha Wala sio mpira kama mpira EPL unabondwa vizuri tu na haitokuja kupoa sababu timu za Ile ligi zinajua nini zinafanya
Hujui mpira au umeanza kuangalia mpira msimu uliopita
 
Hao ni wachezaji wa Pep wanacheza kama robots. Match zao zinaboa sana.

Angalia Madrid Ancelotti hana muda wa kufanya overcoaching na kutoa maelekezo kupita kiasi.
 
Wapi wewe umekuwa kizembe kivipi wakati watu wa bara lako wote wana ndoto ya kufikia huko unandika ujinga hapa tu . Simba na yanga ishakuaharibu kichwa
 
Hao ni wachezaji wa Pep wanacheza kama robots. Match zao zinaboa sana.

Angalia Madrid Ancelotti hana muda wa kufanya overcoaching na kutoa maelekezo kupita kiasi.
Hana mbinu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…