Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

Wewe unasumbuliwa na ugumu wa maisha
Nadhani hapa tumeshajua una matatizo makubwa sana either kiuchumi au kiakili

Jikite kwenye mada kama wenzio kijana naona umemuweka Darwin Nunez hapo bila shaka umeanza kuifatilia Liverpool juzi juzi .

Je wakongwe kama Asprin , Chaliifrancisco , na sisi malegend tusemeje? Uliza kwanza tulioshuhudia Liverpool ya ukweli kabisa.
 
Wenzetu kwa sasa hakuna team pia mkuu amini

Umeona Euro ya juzi kati? Kuna mpira gani mule yaani hovyo sana

Angalau walioangalia copa america ndiyo waliienjoy

Unazidi kuona kwamba team zao pia ubroa unashuka taratibu sababu ya makocha kutaka kuwafanya wachezaji wasio na vipaji nao wacheze mpira kisa tu wanafuata mfumo basi

Halaand na kipaji gani yule.mpaka aimbwe hivi?

No wonder lukaku bado ni lulu sababu hakuna pure striker nowdays
Kwahiyo halaand Hana kipaji aisee mzee embu jaribu kumuona daktari unatatizo la afya ya akili na ugumu wa maisha
 
Nadhani hapa tumeshajua una matatizo makubwa sana either kiuchumi au kiakili

Jikite kwenye mada kama wenzio kijana
Wewe ndio unatatizo la ugumu wa maisha ndio maana unaona mpira hauchezwi na hiyo hutokea watu kama nyie ambao mfukoni hamna kitu lazima uone mpira takataka
 
Mimi binafsi mechi za Africa hapana ni ubabaishaji tu. Hata ligi ya Tanzania sipotezi muda wangu.
 
Haaland yupi huyo ni takataka? Huyu anayeongoza kwa magoli au?
Mkuu
Ujue sasa hivi soka mmeliharibu

Leo hii mtu ukimwambia Xavi ni bora kuliko Rodri utakimbilia takwimu okay.

Wakati macho ya wazi kabisa Xavi alikuwa bora mara 200 ya Huyu Rodri

Pep mwenyewe alisema "sometimes football is beyond the number" yaani yeye anaamini mpira sio takwimu tu .

Sasa wewe unambishia kocha wa huyo Halaand?
 
Kazi ya halaand ni Nini ujue ukute hata kazi yake uwanjani huijui🤣🤣🤣🤣
 
Mpira uliowaruhusu watu kujieleza Wana Nini miguuni haupo Tena
Mbeki hawataki kukaba
...Ngoma Sasa ni too formulated plus mi grid system kama mbuzi kupangiwa na kamba aende wapi aishie wapi.

Wachezaji kurundikiwa maelezo mengi na kudaiwa Kuwa vigezo vingi hata kwenye namba zisizotaka Mambo mengi.
 
Kwahiyo halaand Hana kipaji aisee mzee embu jaribu kumuona daktari unatatizo la afya ya akili na ugumu wa maisha
Dogo mbona unajifanya unanijua jua sana? Mama yako ndio huwaga ananilea? Kwamba kazi yangu kumkaza tu then ananilisha?

Hebu acha ujinga kujifanya unajua jua watu hakuna aliyekuita hapa kama huwezi kujadili acha .

Mbona wenzio wamepinga na kukubali kistaarabu?

Utoto shida sana
 
We ni chizi lazima tukudharau hatuwezi kusikiliza ushuzi wako nenda Kwa daktari unaandika Mavi matupu hapa Bora Mimi mtoto ila wewe ni kubwa jinga unaesema CAF inaizidi UEFA Kila mtu anakushangaa huo mpira wa CAF ni huu huu wakina simba na yanga dhidi ya Al ahly waarabu wa Africa uchwara🤣🤣🤣🤣
 
tunaangalia mikeka imetiki live score tu huo muda wa kukaa uangalie mpira unautoa wp? mpira ulikuwa 2012 kurudi nyuma enz izo drogba, lampad, terry dah! sahv chama langu the blues mpaka jezi hazieleweki na hazivaliki
 
Mkuu
Ujue sasa hivi soka mmeliharibu

Leo hii mtu ukimwambia Xavi ni bora kuliko Rodri utakimbilia takwimu okay.

Wakati macho ya wazi kabisa Xavi alikuwa bora mara 200 ya Huyu Rodri

Pep mwenyewe alisema "sometimes football is beyond the number" yaani yeye anaamini mpira sio takwimu tu .

Sasa wewe unambishia kocha wa huyo Halaand?
Mkuu, na wewe unaamini Halaand sio bora ni takataka kulinganisha na kina Nunez?
 
I salute you kinsmen.
Binafsi nimeanza kufuatilia soka la ulaya muda kidogo Liverpool die hard fans.

Lakini tuseme ukweli ligi za ulaya kwa sasa uwezo wa wachezaji umekuwa mdogo sana na hakuna vipaji kabisa asilia yaani ile pure talent hakuna kabisa.

Hasa hasa EPL nowdays huwa nafuatilia game za Liverpool basi tu sababu ya kuipenda team ila kwa sasa sioni zile pure talent kama zama zile ..

Tulikuwaga na Xabi alonso anazima pale na mascherano kati halafu Steven Gerald. Lakini leo tuna wataru Hendo,

Tukikuwaga na watu wa kazi Denis Bergkamp pale arsenal lakini leo tuna Gabriel jesus, na taka taka zingine kama Halaand pale Man City.

Hebu fikiria watu kazi kama Vidic,Rio ferdinand, Ashley Cole, patrice Evra,dirk kuyt, hawapo tena pale Qpl ya moto enzi zile yaani full kuenjoy.

Binafsi ukiniuliza nitakwambia kwa sasa CAF champions league ni bora kuliko Uefa ya sasa hivi . UEFA ya mwisho kuwa nzuri zaidi ni ile 2015/2016! Baada ya hapo ni maigizo matupu na ujinga ujinga.

Wachezaji nowdays wamekariri mifumo kutoka kwa makocha kama maroboti yaani hatuoni zile extra talent kutoka kwao .

Sikuhizi mchezaji kufunga goli la uwezo binafsi ni ngumu sana sana zaidi ya kufuata mfumo kama robot..

Naamini Newmarket ndiyo talent ya mwisho ambayo ilibaki na ilitegemewa kufanya makubwa lakini ndio vile mnamuona tena mwenyewe kijana umri umesogea..

Nadhani ligi ya EPL ndiyo imeshakuwa ya kidwanzi sana kufuatilia hakuna tena soka la burudani kama zamani zaidi mifumo mipya ya hovyo wachezaji waifuate kama robot.

No wonder wachezaji kama Halaand wanacheza na wanaonekana bora sana, na wanafikia mpka kugombania tuzo kubwa kubwa ni ujinga.

Marefa wa epl ndio kituko kabisa hawana tofauti na huku Bongo wana VAR lakini bado maamuzi ni kichekesho.

Angalau Spain bado wana mpira wao asili kidogo unafurahia kuenjoy.

Afadhali hata ligi ya Tanzania kuna magoli yanafungwa unaona kabisa huu ni uwezo binafsi kabisa kuliko EPL ya sasa aseeh
Niliwahi kuuliza kuwa, hivi kuna Striker wa sasahivi angeweza kabwa na hawa mabeki na kupita? Angalia tu aina ya mabeki...akina Paolo Maldini au Genaro Gatuso halafu eti Striker ni Ganacho au Gabriel Jesus

let us be serious Wakuu
 
Attachments

  • images (81).jpeg
    images (81).jpeg
    50.8 KB · Views: 3
Back
Top Bottom